Juventus, Atletico Zamuwinda Saka
KLABU za Juventus na Atletico Madrid zimeanza harakati za kutaka kumsajili beki kisiki wa Arsenal, Bukayo Saka. Saka alionyesha kiwango cha juu kwenye michuano ya Kombe la Euro mwaka huu lakini mwanzoni mwa msimu huu bado hajawa kwenye…
