Efm Redio Kugawa Pesa kwa Wasikilizaji Wake
Efm redio imezindua rasmi msimu wa tatu wa mchezo wa sakasaka. Mchezo huu huchezeshwa kila mwaka na mwaka huu utachezeshwa katika wilaya ya Temeke, Kigamboni, Ubungo, Ilala na Bagamoyo. Siku ya jana tarehe 28/05/2017…
