Wamalawi Wakesha Wakiwasoma Pape Sakho, Chama, Ligi Ya Mabingwa
KUELEKEA Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya kwanza, Kocha Mkuu wa Nyasa Big Bullets, Kalisto Pasuwa, amefichua kuwa kwa sasa amekuwa akiwafuatilia kwa karibu wachezaji wa Simba kupitia video za mechi mbalimbali akiwemo Mzambia,…
