Meneja wa Diamond ‘Salam SK’ Apata Corona
MENEJA wa mwanamuziki nyota nchini Diamond Platnumz, aitwaye Sallam SK, ametangaza kuambukizwa virusi vya Corona, lakini amewatoa hofu Watanzania na kuwa anaendelea vizuri.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Sallam…
