Sandra Aanika Udhaifu wa Bongo Movies
MSANII wa filamu Bongo, Salama Salmini ‘Sandra’ ambaye kwa sasa ana mkataba mnono wa kucheza Tamthilia ya Nyota nchini Kenya, amesema kutokana na kufanya kazi na soko la filamu la nchini humo amegundua upungufu katika soko la Bongo…
