Salama Jabir Aacha Kazi EATV, Simba Yatajwa
Mtangazaji nguli nchini na kipenzi cha wengi, Salama Jabir jana alitangaza kuachana na kituo cha EATV ambacho amefanya kazi hapo kwa muda wa takribani miaka 19 huku sababu kuu ikiwa ni kwenda nje ya media hiyo kuona pia hali ikoje.…
