Saleh Jembe: Tarimba Hahusiki kwa Simba Kujitoa kwenye Dili la Udhamini wa SportPesa
MCHAMBUZI wa soka nchini Saleh Ally Jembe ametoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazoeneo mitandaoni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa SportPesa Abas Tarimba amehusika katika kukwamisha dili la Kampuni hiyo yakubashiri na Simba SC.…
