Mkali Mpya Kwenye Bongo Fleva Kaachia bonge la Ngoma – Video
Ukiona mtu anaweza kufanya jambo lake bila uoga wa kuona wale wabishi na wakubwa zaidi yake kwenye hilo jambo nao wanafanya kwa wakati huo ni lazima ikupe maswali kidogo juu yake.
Ndivyo ambavyo msanii anayekuja kwa kasi…
