Mazishi ya Mama Abdul, Ibada ya Kuaga Mwili Kanisani – VIDEO
Ni Ibada maalum ya kuuaga mwili wa Muigizaji mkongwe, Salome Nonge maarufu kwa jina la Mama Abdul, inafanyika katika kanisa la Romani Katoliki Mburahati.
Baada ya ibada hiyo mwili huo utatolewa na kuelekea katika makaburi ya Chang'ombe…
