Simba ya Bilioni Moja Yamshangaza Sure Boy
BAADA ya kutoka suluhu na Simba, kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Salum Abubakar ‘Sure Boy’, amefunguka licha ya usajili wa Simba kutumia mabilioni ya shilingi lakini timu hiyo imekuwa na uwezo mdogo uwanjani.
Simba inatajwa kutumia…
