El Salvador Yafurahia Kupitisha Siku Bila Mauaji
Polisi nchini El Salvador wanasema taifa hilo la Amerika ya Kati limemaliza siku moja bila mauaji yoyote kuripotiwa, jambo ambalo ni nadra sana katika taifa hilo.
El Salvador ni taifa ambalo limeathiriwa sana na mapigano ya magenge ya…
