Samatta akabidhiwa kwa kocha wa Paris
Mshambuliaji Mbwana Samatta.
Ibrahim Mussa na Khadija Mngwai
WAKATI mshambuliaji Mbwana Samatta, juzi Jumatano akirejea katika klabu yake ya TP Mazembe ya DR Congo, amejikuta katika mazingira mapya baada ya kukabidhiwa kwa kocha wa zamani…
