×

Tag: SAMIA SULUHU HASSAN

Tanzania na Msumbiji Zatia Saini Mikataba ya Ulinzi na Usalama

Msumbiji na Tanzania Septemba 21, 2022 zimesaini mikataba miwili ya ushirikiano mjini Maputo inayolenga kupambana na ugaidi na uhalifu. Msumbiji...

READ MORE

Rais Samia Atoa Salamu za Pole kwa Kifo cha Malkia Elizabeth wa II wa Uingereza 

RAIS  wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na kifo cha Malikia Elizaberth II wa nchi ya Uingereza, kilichotokea jana Alhamisi...

READ MORE

Rais Samia Amwagiza DCI kufanya Upelelezi Kabla ya Kumweka Mtu Mahabusu

RAIS Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Agosti 30, 2022 amemtaka Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhan Kingai...

READ MORE

Rais Samia Atia Neno Ushindi wa Ruto Kiti cha Urais Kenya

BAADA ya Tume Huru ya Uchauzi ya Kenya IEBC hapo jana tarehe 15 Agosti 2022 kumtangaza Dkt. William Ruto kuwa...

READ MORE

Rais Samia Akiri Nidhamu Imeshuka Katika Utumishi wa Umma

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema ni kweli nidhamu imeshuka  katika utumishi wa Umma na...

READ MORE

Rais Samia Atoa Milioni 10 Kila Mkoa Kuendesha Ofisi za Machinga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amepiga simu live katika Kongamano la Mafunzo ya Uongozi na...

READ MORE

Panya Road Wawakata Mapanga Watu 19 Mtongani, Kunduchi Dar es Salaam

VIJANA wanaodhaniwa kuwa ni ‘Panya Road’ wamewakata mapanga watu 19 katika mtaaa wa Mtongani, Kata ya Kunduchi mkoani Dar es...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Agosti 07, 2021 ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana ...

READ MORE

Rais Samia Aagana na Aliyekuwa Balozi wa China Nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Juni 4, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo Mei 06,...

READ MORE

Mama Samia Kuapishwa Leo, Kuwa Rais wa Tanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ataapishwa rasmi leo Machi 19, 2021 kuwa Rais...

READ MORE

Katiba ya Tanzania Inasemaje Rais Akifariki Dunia?

Baada ya Rais wa Tanzania John Magufuli kufariki dunia, hakuna uchaguzi mwingine unaofanyika badala yake, Makamu wa Rais, Samia Suluhu...

READ MORE

Makamu wa Rais aendelea na Ziara Muheza na Pangani Tanga

  MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Machi 16, 2021 yupo Mkoani Tanga...

READ MORE

Samia Azindua Radio Jamii, Ukatili Dhidi ya Wanawake

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 12,2020, amezindua rasmi Kituo cha Redio...

READ MORE

SAMIA AFUNGA MAONYESHO YA NANENANE MORO

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu, leo Agosti 8, 2019 ametembelea mabanda ya maonyesho katika...

READ MORE

MAKAMU WA RAIS WA TANZANIA, SAMIA SULUHU AWASILI, ZANZIBAR LEO

Makamu wa rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewasili leo jioni katika uwanja wa ndege wa Zanzibar, akiwa ameambatana na...

READ MORE

RAIS MAGUFULI, KUHITIMISHA KILELE CHA MWENGE ZANZIBAR

Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli, anatarajia kuhitimisha kilele cha Mwenge, kisiwani Zanzibar katika mkoa wa...

READ MORE