The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

shamsa

Shamsa: Usiwe Mjuaji Sana

MWIGIZAJI Shamsa Ford amewapa somo mashabiki wake akiwaambia wasiwe wajuaji sana hata kama wana majibu wanyamaze kwa sababu wanaweza kujibu kitu, halafu wakatafsiriwa vibaya. Amesema; “Maisha yanahitaji unyenyekevu wa hali ya juu,…

Shamsa hataki kuisikia ndoa

STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford amesema kuwa ana muda mrefu wa kula ujana bila kuwa na mwanaume yeyote wa kuishi naye ndani mpaka atakapoona ametosheka vilivyo ndipo atafikiria jambo hilo. Akizungumza na RISASI JUMAMOSI, Shamsa…

Shamsa, Siwema Ushoga Pambe!

STAA wa fi lamu za Kibongo, Shamsa Ford na mzazi mwenza wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Elibariki Emmanuel ‘Nay wa Mitego’; Siwema Edson, wameunda ushoga pambe pamoja na kwamba, wote walishatoka kimapenzi na jamaa huyo. …

Nay na Shamsa Mambo Safi!

BAADA ya penzi lao kufa na kuzikwa, imebainika kwamba, kumbe mwigizaji wa Bongo Muvi, Shamsa Ford na staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ mambo yao ni safi kinoma. Akizungumza na Risasi Jumamosi, Shamsa…

SHAMSA ATUPA KULE DAYATI!

MWANAMAMA wa Bongo Muvi, Shamsa Ford amesema anajifahamu kuwa yeye ni kibonge, lakini suala la dayati hataki kulisikia. Akistorisha na Gazeti la Ijumaa Wikienda, Shamsa amesema unamkuta mtu anajinyima kula siku nzima ili…

Shamsa Amkingia Kifua Uwoya

MREMBO wa Bongo Muvi, Shamsa Ford amemkingia kifua muigizaji mwenzake Irene Uwoya baada ya watu kumtolea maneno machafu kwenye mtandao wa kijamii kuhusiana na vazi alilovaa la ufukweni. Akizungumza na Over Ze Weekend, Shamsa alisema kuwa…

SHAMSA: NIMEAMUA KUJITULIZA SASA!

STAA mwenye mvuto wa kipekee Bongo Movie, Shamsa Ford amesema kuwa, mambo yasiyo sahihi amefanya sana, lakini kwa sasa umefika wakati wa yeye kutulizana hasa kwenye ndoa yake. Akichonga kiaina na Amani, Shamsa alisema kuwa,…

Uwoya Amponza Shamsa

STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford ameoga mvua ya matusi kutoka kwa baadhi ya mastaa wa Bongo Movies baada ya kusema hakuna staa mzuri wa kike kwenye tasnia hiyo mwigizaji mwenzake, Irene Uwoya. Shamsa aliliambia Ijumaa…

SHAMSA FORD ALIA NA VIBENTEN

NYOTA wa filamu nchini, Shamsa Ford, ametoa ushauri kwa vijana wa kiume wa Kitanzania wenye tabia ya ‘ganda la ndizi kuteleza’, yaani wasiopenda kufanya kazi, badala yake wanatumia miili yao kama kitegauchumi kwa kujihusisha kimapenzi…

Shamsa amfungukia Nay wa Mitego

Staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford. KARIBUNI wasomaji wetu wa kolamu hii ambayo tumekuwa tukiwaletea wasanii mbalimbali na kufunguka mambo ambayo yamekuwa yakikutatiza, kwanza napenda kuomba radhi kwa kutomleta mwanadada, Riyama Ally…

Shamsa Ford: Mapenzi popote

NA BONIPHACE NGUMIJE MREMBO anayefanya vizuri kwenye anga la filamu za Kibongo, Shamsa Ford ameibua mpya baada ya kudai kuwa akiwa na mtu wake, haoni hatari kujirusha naye mahali popote bila kujali ni wakati gani ilimradi tu…