Sheria za TZ Zaanza kutafsiriwa kwa Kiswahili
Wataalamu wa #Sheria kutoka Taasisi mbalimbali wakiongozwa na Wanasheria kutoka Wizara ya Katiba na Sheria wameanza kazi ya kutafsiri Sheria zote Nchini.
Kutokana na Sheria kuwa Sekta inayomsaidia Mtu kupata haki,…
