MSHINDI WA NYUMBA ATIKISA DAR, MAPOKEZI YAKE SI YA KITOTO
GEORGE Majaba, mshindi wa Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili, Jumanne Oktoba 31, 2017 amewasili jijini Dar es Salaam tayari kwa zoezi la kukabidhiwa nyumba yake aliyojishindia baada ya droo kubwa iliyochezwa Septemba 27,…
