TRC Kuongeza Safari za Treni Mikoa ya Kaskazini, Gharama za Mafuta Yawa Sababu
SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limeongeza safari za Treni Kutoka Dar es salaam kwenda mikoa ya kaskazini ambayo ni Arusha, Kilimanjaro na Tanga kutoka safari mbili kwa wiki kama ilivyokuwa hapo awali mpaka safari tatu kwa wiki.…
