Shoga; mume hasusiwi, ukisusa atachepuka nje
Asalam alaikum wapendwa wasomaji, mimi ndiyo mimi, Aunt Nasra Shangingi Mstaafu ukiuona ukurasa huu jua somo linakuja, tena somo haswaaa hivyo kuwa makini.
Kwa nini uchukuliwe mume na wewe upo ndani? Utasikia oooh mume siku hizi harudi…
