Shoga; ukisemwa na mumeo usinune, itakula kwako!
Shoga yangu, leo ni Jumanne nyingine ambapo tunakutana katika safu yetu hii ambayo tunaitumia kukosoana na kuelimishana kuhusu masuala ya ndoa nk.
Baada ya wiki iliyopita kuzungumza nawe kuhusu mada iliyosema ‘mumeo umepewa na Mungu…
