JOHARI: Naogopa Kupangwa Msururu!
JINA la Johari si jina geni kwa wapenzi na wadau wa sanaa Bongo kutokana na kuifanya sanaa hiyo ilipokuwa chimbuko lake ni makundi, mrembo huyu ambaye jina lake halisi ni Blandina Chagula, alichipukia kupitia Kundi la Kaole Sanaa Group.…
