×

Tag: shule

Zaidi ya Wanafunzi 70 Wanusurika Kifo Baada ya Bweni Lao Kuteketea kwa Moto

ZAIDI ya wanafunzi 70 katika shule ya wavulana ya Bwiru Sekondari iliyopo manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza wamenusurika kifo baada...

READ MORE

Gumzo! Wavulana Wanaovaa Sare Kama Sketi, Mkuu wa Shule Akanusha

NYAKASURA ni shule ya mchanganyiko ya bweni, ya kata ya upili iliyopo huko magharibi mwa nchi ya Uganda ambayo wanafunzi...

READ MORE

Mabinti Waliokatiza Masomo Wamerudi Shule

Mabiti wa kike waliokatiza masomo kwa sababu mbalimbali ikiwemo ujauzito wamerejea shuleni ikiwa ni sehemu ya mpango wa serikali wa...

READ MORE

RC Mtaka: Msiwarundike Walimu Shule Moja

MKUU wa Mkoa wa Dodoma nchini Tanzania, Antony Mtaka, ameuagiza uongozi wa ofisi ya mkurugenzi wa jiji na afisa elimu...

READ MORE

Wazadi Wagomea Shule Kufundisha Kingereza

WAZAZI wa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mukendo, iliyopo Musoma mkoani Mara wamekataa mpango wa Serikali kubadili Shule hiyo ili...

READ MORE

Ni Aibu Shule ya Msingi Ntanganyika Kukaa Chini

MKUU wa Mkoa wa Rukwa, Joseph Mkirikiti amesikitishwa na kitendo cha Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi kutokamilisha uwekaji madawati katika...

READ MORE

Moto Waunguza Bweni na Darasa Sekondari ya Nyehunge

  MOTO umezuka katika Shule ya Sekondari Nyehunge iliyoko katika Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema mkoani Mwanza leo Jumatano, Septemba...

READ MORE

Wanafunzi Wampa Kipigo Mwalimu Wao

Wanafunzi watatu wa kidato cha nne katika shule ya upili/sekondari ya St John Sikinwa kaunti ya Trans Nzoia nchini Kenya...

READ MORE

Nafasi za Masomo Itulahumba Sec School

Itulahumba Sekondari School inawatangazia nafasi za Masomo kwa kidato cha kwanza (form 1) 2022. Tumekuwa na Matokeo Mazuri kidato cha...

READ MORE

Udahili Waanza Shule Zilizojengwa na GGML

Wanafunzi wa kidato cha tano katika Shule ya Sekondari Bugando ambayo ni shule ya sekondari ya pili ya serikali katika...

READ MORE

Udahili Waanza Shule Mbili Zilizojengwa na GGML

JUMLA ya wanafunzi 249 wamedahiliwa kuanza masomo ya kidato cha tano kwa mwaka wa masomo  2021/2022 katika shule za Bugando...

READ MORE

Wanafunzi 11 Wakamatwa kwa Kuchoma Moto Shule

Jeshi la Polisi mkoani Geita linawashikilia wanafunzi 11 akiwemo msichana mmoja kwa tuhuma za kuchoma moto Shule ya Sekondari Geita...

READ MORE

Waganga wa Jadi Wajenga Madarasa

WAGANGA 87 wa tiba asilia wamefanikiwa kujenga vyumba viwili vya madarasa kwa kutumia fedha zao za uganga, katika Shule ya...

READ MORE

Wanafunzi 10 Bora Sayansi Kidato cha Sita 2021

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita ya mwaka 2021 na kutaja wanafunzi kumi bora waliofanya...

READ MORE

Wanafunzi, Walinzi Washikiliwa kwa Kuchoma Shule

Wanafunzi watatu, walinzi wanne na baadhi ya wananchi wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Geita kwa ajili ya mahojiano...

READ MORE

Exim Yakamilisha Ukarabati Vyoo Vya Shule Zanzibar

Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja, Sadifa Juma akikagua moja ya chumba cha vyoo vya Shule...

READ MORE

Shule Iliyoburuza Mkia Miaka Mitatu Yafanya Maajabu

Shule ya Sekondari Kome iliyoko Halmasahauri ya Buchosa Wilayani Sengerema mkoa wa Mwanza iliyoshika nafasi ya mwisho kwa miaka mitatu...

READ MORE

Mtwara: Wanafunzi Wasomea Chini ya Mkorosho

WANAFUNZI  wa Shule ya Msingi Namalombe wilaya ya Nanyumbu mkoa wa Mtwara pamoja na Mwalimu mkuu wao, Bwanaheri Akili, wameiomba...

READ MORE

Moto Wateketeza Mabweni Shule ya Sangiti

WANAFUNZI 180 katika shule ya sekondari ya wasichana Sangiti iliopo kata ya Kirima Kibosho wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wamenusurika...

READ MORE

Mzazi Aliyegoma Kuwapeleka Watoto Shule Kisa Dini Akamatwa

Merchades Mugishagwe anashikiliwa na Polisi kwa Amri ya Mkuu wa Wilaya ya Bukoba akidaiwa kukaidi agizo la kuwaandikisha Watoto wake...

READ MORE

Familia Inayoamini Kusomesha Watoto, Kumiliki Simu, TV ni Dhambi

FAMILIA ya Merchades Buberwa, mkazi wa Kasarani, Bukoba mkoani Kagera, imeeleza haina mpango wa kuwapeleka watoto wao shule, lakini pia...

READ MORE

Shigongo Aendelea Kumwaga Vifaa Kwa Wanafunzi – (Pichaz + Video)

  MBUNGE wa Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, kupitia kampeni yake ya BUCHOSA MPYA, PELEKA MTOTO SHULE ameendelea na zoezi la...

READ MORE

Shigongo Amwaga Vifaa vya Shule kwa Watoto Wenye Mahitaji – Video

  OFISI ya Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, kupitia kamati yake ya kuhamasisha wazazi kupeleka watoto shule,...

READ MORE

Mkuu wa Shule Atokomea na Michango ya Mitihani ya Form 4 & 2

Serikali mkoani Geita imeuagiza uongozi wa shule ya sekondari ya Geita Islamic, ifikapo leo asubuhi iwasilishe stakabadhi za malipo ya...

READ MORE

JPM Afungua Shule ya Ihungo, Aonya Wanafunzi Kuendelea Kukaa Chini Dar – Video

RAIS John Magufuli, akiwa katika ziara mkoani Kagera, leo Januari, 2021, ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Chuo cha...

READ MORE

Kufuru! Bilionea Laizer Ajenga Shule ya Tsh Milioni 466

BILIONEA Mtanzania, Saniniu Laizer, amekamilisha ujenzi wa shule ya Msingi mkoani Manyara katika Kijiji cha Naepo yenye thamani ya Tsh...

READ MORE

Wanaodaiwa Kuchoma Mabweni ya Shule Kilimanjaro Wanaswa – Video

Ofisi ya Taifa ya Mashtaka imewafikisha mahakamani washtakiwa watatu wanaohusishwa na matukio ya kuchoma moto bweni la Shule ya Sekondari...

READ MORE

Watuhumiwa wa Kuchoma Shule Wanaswa – Video

JESHI la Polisi wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro limefanikiwa kukamatwa kwa watu watatu kwa tuhuma za kuchoma moto bweni la kulia...

READ MORE

Shule Nyingine Yaungua Nyasaka Mwanza

Wanafunzi 22 wanaosoma katika shule ya Sekondari ya Yustas iliyopo Nyasaka wilayani Ilemela mkoani Mwanza, wameunguliwa vifaa vyao yakiwemo magodoro...

READ MORE

Zimamoto Yatoa Tamko Shule Kuteketea Nchini

JESHI la Zimamoto na Uokoaji nchini limewataka wamiliki wa shule nchini kuhakikisha wanafunga vifaa maalumu vya awali vya kuzimia moto...

READ MORE

Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga kidato cha 5 na Vyuo

  WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo amesema wanafunzi 73,101...

READ MORE

Mwanafunzi: Sina Akili, Sitaki Shule, Bora Nifungwe Jela

MWANAFUNZI mwenye umri wa miaka 15 (jina tunalihifadhi) aliyefaulu kuendelea na masomo ya kidato cha kwanza kwa wastani C katika...

READ MORE

Bonga Yai Kamusi Kitaa: COMMON EXPRESSION IN ENGLISH

(Misemo ya kawaida ya kiingereza) Kamusi Sanifu NI siku nyingine tunapokutana katika ukurasa huu, leo nataka tujadiliane kuhusu misemo ya...

READ MORE

Wanafunzi Wagoma Wakidai Kudhalilishwa Kingono na Walimu

JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro jana Ijumaa lililazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Majengo baada...

READ MORE

Shule ya Mkapa Wakutwa Wakiiba Maji Usiku

SHULE ya Sekondari ya Anna Mkapa iliyopo kata ya Pasua katika Manispaa ya Moshi imebainika kufanya udanganyifu kwa kushiriki kitendo...

READ MORE

MLETE MWANAO HEALSUN SCHOOLS – ARUSHA

PRE & PRIMARY & TECHNICAL SECONDARY SCHOOL, DAY AND BOARDING IMESAJILIWA KWA NO AR.01/07/075 SECONDARY REG NO S 5023 Healsun Pre-Primary...

READ MORE

Shule ya Miti Iliyompa Wakati Mgumu Nape Nnauye – VIDEO

  MBUNGE wa Jimbo la Mtama, Nape Nauye amefanya mabadiliko makubwa kwa muda wa miaka miwili na nusu katika jimbo...

READ MORE

Serikali Yatoa Kibano kwa Shule Binafsi

WARAKA wa Elimu Namba 7 wa Mwaka 2004 umepiga marufuku utaratibu wa shule zisizo za serikali kukaririsha darasa, kufukuza au...

READ MORE

WANAFUNZI WANAOFAULU HUSOMA KWA SAA NGAPI?

katika elimu yetu, wanafunzi wanaofaulu na wale wasiofaulu, siri yao kubwa imejificha katika muda. Wanafunzi hufikiria muda sahihi wa kusoma...

READ MORE