Simba Queens ‘The Galacticos’… Ndani Ntiti, nje Ntiti Yatawala ligi ya Wanawake
KWA miaka takribani minne sasa, kwenye soka la Wanawake Tanzania, kuna klabu moja tu ambayo imejiweka kwenye ukurasa wake wa tofauti.
Klabu hiyo ni Simba Queens. Timu hiyo imetawala ligi ya ndani kwa kutwaa mataji matatu ya ligi…
