×

Tag: simiyu

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Atenguliwa, Kihongosi Ateuliwa Kuchukua Nafasi Yake

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Wilaya ya Momba, Kenani Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu akichukua nafasi...

READ MORE

Mama, Mwana Jela Miaka 40 kwa Kukutwa na Vipande 8 vya Nyumbu

MAHAKAMA ya Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu, katika kesi yake ya kwanza kuitolewa hukumu tangu izinduliwe Novemba 25, 2022 na...

READ MORE

RPC Simiyu Apata Ajali, Maswali Yaibuka Baada ya Aliyemgonga Kufariki

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Simiyu ACP Blasius Chatanda amepata ajali akiwa na gari lake binafsi T 462 BBD Toyata...

READ MORE

Katibu Mkuu wa CCM, Chongolo Atoa Maagizo Viboko Wavunwe Wilaya ya Busega

  KATIBU MKUU wa Chama cha mapinduzi (CCM) Taifa Daniel Chongolo amezitaka Mamlaka zinazohusika na uhifadhi wa wanyamapori kuwavuna viboko...

READ MORE

Amref Yasisitiza Umuhimu wa Kupata Chanjo Ya Uviko-19

MKURUGENZI MKUU  wa Program ya  Kudhibiti na kuzuia magonjwa Amref Health Africa Tanzania Dkt.Rita Mutayoba amesema kuwa  Tanzania kwa ufadhili...

READ MORE

RC Kafulila Atoa siku 7 Mkataba na Mkandarasi Didia Co. Ltd Uvunjwe

MKUU wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila ametoa muda wa siku saba kwa wakala wa Barabara mjini na vijijini (Tarula)...

READ MORE

Kafulila Afyeka Viongozi 335 Amcos, Maofisa Ushirika Wang’olewa

MKUU wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila amevunja bodi zote za viongozi wa Vyama vya msingi vya Ushirika 335 vilivyopo...

READ MORE

Mama Amchoma na Maji ya Moto Mwanae, Kisa Tambi Mkoa wa Simiyu, Polisi Wafunguka

Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linamshikilia mama mmoja anayefahamika kwa jina la Mwamba Thomas (37) Msukuma kwa tuhuma za...

READ MORE

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Atoa Maagizo kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi

MKUU wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila, ametoa siku 14 kwa wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri mkoani humo,...

READ MORE

Waliokufa kwa Ajali Simiyu Wafikia 15

Idadi ya vifo vilivyoyokana na ajali iliyohusisha gari ya wanahabari ma Toyota Hiace imefikia 15 baada ya majeruhi mmoja aliyekuwa...

READ MORE

Watu 690 Wameuawa Simiyu

TAARIFA zinaeleza kwamba watu 690 wameripotiwa kuuawa kwa kukatwa mapanga katika mkoa wa Simiyu, wengi wao wakiwa ni wanawake.  ...

READ MORE

Watatu Wafa Maji Ziwa Victoria

WATU watatu wakazi wa wilaya ya Busega mkoani Simiyu ambao ni wavuvi katika Ziwa Victoria, wamekufa maji kwa kuzama baada...

READ MORE

Afya za Watoa Huduma za Hsafi Simiyu Hatarini

  AFYA za wafanyakazi katika sekta ya usafi hususani watoa huduma ya kutapisha vyoo katika mji wa Maswa na Bariadi...

READ MORE

Ujenzi wa Vyoo Kwenye Mikusanyiko Waanza Simiyu

  ILI kuepuka na magonjwa ya mlipuko katika kipindi hiki cha mvua za vuli, Serikali ya wilaya ya Bariadi mkoani...

READ MORE

Simiyu: Minada Yasitishwa Kupisha Uchaguzi

MKUU wa mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka, amesitisha minada na magulio yote mkoani humo siku ya uchaguzi mkuu ya Oktoba...

READ MORE

Daraja la Simiyu Mwanza-Musoma Lafungwa

DARAJA la Mto Simiyu lililoko wilayani Magu katika barabara kuu ya Mwanza-Musoma limeharibika, hivyo serikali kulifunga kwa siku kumi ili...

READ MORE

DC Aagiza Watumishi Wanunue Ultra Sound ya Mil 30 Iliyoibwa

BAADA ya mashine ya Ultra Sound kuibiwa katika Hospitali ya Wilaya Bariadi mkoani Simiyu, Mkuu wa Wilaya hiyo, Festo Kiswaga,...

READ MORE

JPM: Walisema Mtaka Hafai Kuwa Hata DC, Leo Anaongoza Kuchapa Kazi – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ameendelea na ziara yake ya kukagua na kuzindua miradi...

READ MORE

KAMATI YA ULINZI SIMIYU YATEMBELEA POLI LA MEATU

Wakazi wa mkoa wa Simiyu na mikoa ya jirani, wametakiwa kuchangamkia fursa zinazotokana na uwekezaji wa kampuni ya Kitalii ya...

READ MORE

Vita ya dawa za kulevya yatinga Shinyanga

SHINYANGA: Vita dhidi ya dawa za kulevya imetua mkoani Shinyanga ambapo  jumla ya watu 17 wanaotuhumiwa kuwa ni watumiaji wa...

READ MORE

Simiyu: Mkuu wa Mkoa Amsimamisha Kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima

SIMIYU: Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima John Aloyce...

READ MORE