×

Tag: singida united

Singida United Yamsajili Fei Toto Nyota wa JKU

TIMU ya Singida United  leo imetangaza kumsajili  mchezaji nyota wa timu ya JKU, Feisal Salum Abdallah,  maarufu kwa jina la...

READ MORE

FULL VIDEO: Usiku wa Tuzo za VPL 2017/18 Mlimani City

 Mshambuliaji wa klabu ya Simba, John Bocco, ameibuka mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara...

READ MORE

MANYIKA AZIGONGANISHA SIMBA, AZAM FC

IMETAJWA kuwa klabu za Simba na Azam FC zimeingia kwenye vita ya kusaka saini ya kipa wa Singida United, Peter...

READ MORE

Sportpesa Super Cup Imetuvua Nguo, Tujipange

NIANZE kutoa kongole kwa Mbwana Samatta na Ally Salehe Kiba ‘King Kiba’ kwa kile ambacho waliki­fanya mwishoni mwa wiki iliyo­pita...

READ MORE

SINGIDA MSHINDI WA TATU SPORTPESA SUPER CUP, YAIPIGA HOMEBOYZ 4-1

Timu ya Singida United imefanikiwa kushika nafasi ya tatu katika mashindano ya SportPesa Super Cup baada ya kutoka sare na...

READ MORE

SINGIDA UNITED YAUNGANA NA SIMBA NUSU FAINALI SUPER CUP

  SINGIDA United imeungana na Simba kuingia hatua ya nusu fainali ya mashindano ya SportPesa Super Cup kwa ushindi wa...

READ MORE

Wachezaji Singida Wapewa Mifuko 50 Ya Saruji Kila Mmoja

  KLABU ya Singida United, kesho Jumamosi inatarajiwa kumtangaza rasmi kocha wake mkuu atakayechukua mikoba ya Mholanzi, Hans van Der...

READ MORE

Singida Yamuuza Rasmi Kutinyu mil. 45 Azam FC

SINGIDA United rasmi imemuuza kiungo wake mshambuliaji raia wa Zimba­bwe, Tafadzwa Kutinyu dola 20, 0000 (sawa na shilingi milioni 45)...

READ MORE

Kocha Yanga Aitaka Mikoba Ya Pluijm Singida

IMEBAINIKA kuwa aliyewahi kuwa Kocha wa Yanga, Du­san Kondic, raia wa Serbia ni miongoni mwa makocha ambao wanapigiwa chapuo kwa...

READ MORE

Singida United: Hatutaipigia Makofi Simba SC

WAKATI Simba wakijiandaa kuapizwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu Bara watakapotua uwanjani leo Jumamosi kuwavaa Singida United, wapinzani wao...

READ MORE

Pluijm Aapa Kulipa Kisasi Kwa Simba

  KOCHA wa timu ya Singida United, Mholanzi, Hans van Der Pluijm kuelekea kwenye mechi yao dhidi ya Simba itakayopigwa...

READ MORE

Pluijm: Yanga Tunawajua, Hawatusumbui

KOCHA wa timu ya Singida United, Mholanzi Hans van Der Pluijm kuele­kea kwenye mechi yao ya leo Jumatano dhidi ya...

READ MORE

Pluijm Atamba Kutwaa Kombe La FA

BAADA ya kuitoa Yanga katika nusu fainali ya Kombe la FA, Kocha wa Singida United, Hans van Der Pluijm ametamba...

READ MORE

FT: SINGIDA UNITED 4-2 YANGA, KOMBE LA SHIRIKISHO

DAKIKA 90 ZINAKAMILIKA WANAENDA KIPINDI CHA PENALTI Dak ya 89, Pigwa hukuu Yanga wanaokoa na kupiga Counter Attack, mpira unakwenda...

READ MORE

SIMBA YAIPIGA SINGIDA BAO 4- 0 UWANJA WA TAIFA

MPIRA UMEKWISHAA DAKIKA 93 DAKIKA 3 ZA NYONGEZA Dk 89, Kwasi anachonga kona fupi kwa Kichuya lakini mpra unaishia miguuni...

READ MORE

Dk 360 Zamkwamisha Pluijm Singida

LICHA ya kuwa na kikosi imara na washambuliaji wa kimataifa, bado Singida United imeshindwa kutamba katika michezo yake minne mfululizo...

READ MORE

FULL TIME: SINGIDA UNITED 0-0 YANGA KUTOKA NAMFUA STADIUM

FULL TIME.. DAKIKA 6 ZA NYONGEZA Dk 89, kona maridadi ya Ajibu, Singida nao kupitia Batambuze wanaokoa vizuri Dk 89...

READ MORE

PLUIJM AMFUATA NIYONZIMA TAIFA

KOCHA wa zamani wa Yanga ambaye sasa anaifundisha Singida United, Hans van Der Pluijm, jana alikuwa mmoja wa watazamaji wa...

READ MORE

Azam Wampa Pluijm Bonge La Kiungo

KLABU ya Azam, imekubali kumuachia kiungo wake mkabaji, Mudathir Yahya kujiunga na kikosi cha Singida United kinachonolewa na Mholanzi, Hans...

READ MORE

Singida Kuzivaa Timu za Congo

KATIKA kuhakikisha kuwa timu ya Singida United, inafanya vema katika Ligi Kuu Bara msimu ujao, kocha mkuu wa timu hiyo,...

READ MORE

Barthez: Nimekuja Kuipa Mafanikio Singida

KATIKATI ya wiki iliyopita, Klabu ya Singida United ilikamilisha dili la kumsajili kipa wa Yanga, Ally Mus­tafa ‘Barthez’ kwa kumpa...

READ MORE

Pluijm: Najua Singida United Tunadharaulika Ila Watatukoma

KUELEKEA Ligi Kuu Bara msimu ujao, Kocha Mkuu wa Singida United, Mholanzi Hans Van Der Plujm amesema anafahamu wanadharaulika lakini...

READ MORE

Tizi la Pluijm Singida United, Wahenga Kazi Wanayo

  KOCHA Mkuu wa Singida United, Hans van Der Pluijm hataki utani katika kuiandaa timu yake kwani amekuwa akiwafanyisha mazoezi...

READ MORE

JEURI! Singida Utd Yashusha Mashine Mbili, Yumo Mfungaji Bora Rwanda

  JEURI YA PESA! KLABU ya Singida United ambayo imepanda daraja msimu uliopita, ikiwa kwenye maandalizi ya michuano ya Ligi...

READ MORE

GlobalSports: Singida United Yamng’oa Winga wa Simba SC

  KLABU ya Singida United imeipa pigo Klabu ya Simba baada ya kummng’oa winga wake wa kulia, Pastory Athanas na...

READ MORE

Singida United Wakabidhiwa Basi la Sh. Milioni 350

  UONGOZI wa Klabu ya Singida United, imetoa basi lenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 350 litakalotumiwa na wachezaji...

READ MORE

Pluijm Aihamishia Singida United Mwanza

CHAMPIONI IJUMAA TIMU ya soka ya Singida United ya mkoani Singida ambayo imepanda daraja hivi karibuni na itashiriki Ligi Kuu...

READ MORE

Pluijm Awazuga Simba kwa Ajibu, Mkude

Na Wilbert Molandi KOCHA Mkuu wa Singida United, Mholanzi, Hans van Der Pluijm, amesema hakuna mazungumzo yoyote yanayoendelea kati yao...

READ MORE

Singida United Yatoa Kauli ya Vitisho

Na Omary Mdose/CHAMPIONI/GPL BAADA ya kupata nafasi ya kucheza Ligi Kuu Bara msimu ujao huku ikianza mapema harakati za usajili...

READ MORE

Pluijm apeleka Jina la Kamusoko, Msuva Singida

KOCHA mkuu mpya wa Singida United, Mholanzi, Hans van Der Pluijm, amerudi kwake Ghana huku akiacha orodha ya majina ya wachezaji anawaowahitaji ambao ni Wazimbabwe,...

READ MORE