×

Tag: sitasahau

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (20)

  ILIPOISHIA JANA… “Karibu mpaka ndani bwana mdogo,” mzee alinikaribisha. Nami nikajimwaga katika kiti kimoja cha mbao, huku nikiliacha jicho...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (19)

  ILIPOISHIA JANA… Ndani ya mtumbwi alikuwamo mzee mmoja mwenye nywele nyeupe, nyusi nyeupe na ndevu nyeupe. Haikutosha kumuita mzee,...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (18)

  ILIPOISHIA… Nakumbuka siku moja niliamua kwenda kanisani kufanyiwa maombi ya tatizo langu hili. Nilipokuwa njiani kueleka huko, mtu wa...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (17)

  ILIPOISHIA… Nadhani hata yeye pamoja na kutisha kwake na uajabuajabu aliokuwa nao, alishangaa kwa jinsi nilivyosimama kwa ujasiri. Alipofika...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (16)

  ILIPOISHIA… Nilifarijika nilipoliona basi alilopanda likiwa mbele na langu likiwa nyuma. Nilifurahi jinsi nilivyokuwa na uhakika wa kusafiri njia...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (15)

  ILIPOISHIA… Nililala usingizi wa matumaini. Niliamini ni lazima ningempata Samike. Nikiwa usingizini, niliota mseto wa ndoto za zamani na...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (14)

  ILIPOISHIA… Nilifanikiwa kupata usingizi kiasi. Ulikuwa usingizi wa mang’amung’amu. Usingizi wangu ulijawa na ile shauku ya kuujua ukweli giza...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (13)

  ILIPOISHIA “Unamfahamu mzee mmoja anaitwa Samike? Ana nywele nyeupe, nyus…” kabla sijamaliza kuzungumza, kijana alibadilika na kuwa yule mtu...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (12)

  ILIPOISHIA JANA… “Boboooooh!” ilipigwa honi. Tukaingia ndani ya gari. Nilimkuta yule dada jirani yangu amekaa kajiinamia. Nilitambua kilichomtesa. Muda...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (11)

  Tulikuwa katika mikono ya wanyang’anyi. Walikwisha tuamuru tushuke chini na tulitii kwa kuzihofia roho zetu kuondolewa na zile bunduki...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (9)

Nilivuka barabara. Gari dogo likakosa kunigonga. Katika harakati za kukwepa kadhia hiyo, nikaparamia mkokoteni wa takataka. Mwenye mkokoteni japo mimi...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (8)

ILIPOISHIA IJUMAA…   “Mzee Samike kwa sababu ya uchawi wake, alikwishatengwa na jamii. Watu wote walimwogopa na hawakuthubutu kwenda msibani....

READ MORE