Wema: Snura ndo Rafiki Yangu wa Milele Mpaka Naingia Kaburini Ninampenda – Video
WEMA SEPETU Mrembo mwenye nyota yake kunako tasnia ya Filamu na urembo nchini amesema kwamba msanii Snura Mushi ndiye rafiki yake wa milele na wa thamani aliyewahi kutokea katika maisha yake na kwamba ataendea kumpenda leo…
