×

Tag: Snura Mushi

Snura Akana kumwagana na Minu

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Snura’ amekanusha kuwa hajaachana na mpenzi wake Minu Calypto kama ambavyo watu...

READ MORE

Snura: Mapenzi Nimeyaweka Pembeni, Hapa Kazi Tu

BAADA ya kuvunjika kwa uhusiano wake na mwanamuziki mwenzake, Minal Calypto uliosababisha apotee kabisa kwenye gemu, msanii wa muziki wa...

READ MORE

YAJUE MAISA YA UTOTONI YA SNURA

SNURAMWANAMUZIKI wa miondoko ya mdu­ara, Snura Mushi ameifunua siri ambayo wengi hatuijui, eti kwenye makuzi yake alikuwa ni mvivu sana...

READ MORE

SARE ZA SEKONDARI ZAMTOA MACHO SNURA

STAA wa miondoko ya mduara Bongo, Snura Mushi amefunguka kuwa amejikuta akizitolea macho sare za wanafunzi wa sekondari baada ya...

READ MORE

Snura: Mume Si Kitu cha Mchezomchezo Nyie Mume

MWANAMUZIKI Snura Mushi ameibuka na kusema kuwa, si kwamba hataki ndoa, anaitaka sana lakini akatahadharisha kuwa, mume si kitu cha...

READ MORE

Snura:Usingo Mama Ni Elimu Tosha Ya Duniani

MWANAMUZIKI anayefanya vizuri kwenye miondoko ya mduara, Snura Mushi, ameibuka na kudai kuwa mwanamke anayelea watoto mwenyewe ni elimu tosha...

READ MORE

Snura Akana Kupigwa Vibuti Penzini

MSANII wa filamu Bongo, Snura Mushi amesema kuwa, japo amekuwa akionekana kulalamika kuhusu masuala ya mapenzi, ukweli ni kwamba kinachomuuma...

READ MORE

Snura Afunguka Skendo ya Kukwapua Bwana!

  MSANII wa filamu Bongo, Snura Mushi amefungukia uvumi wa kumkwapua bwana aliyekuwa anatoka na msanii mwenzake, Salma Jabu Nisha...

READ MORE

Snura: Ntaliza Watu Bethdei Yangu

MWANAMUZIKI nyota na mahiri kwa kukata viuno jukwaani, Snura Mushi amesema atawaliza watu watakaojitokeza katika sherehe ya siku yake ya...

READ MORE

Snura: Faiza Anatafuta Pa Kutokea

MWANAMUZIKI Snura Mushi ameibuka na kusema kuwa pamoja na msanii mwenzake Faiza Ally kumtukana mitandaoni kwa kutumia kazi yake ya...

READ MORE

Snura Naye Kuiburuza Kampuni Mahakamani

WAKATI marapa marafiki Ambwene Yesaya ‘AY’ na Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’ wakiwa wamekaa mkao wa kula kusubiri mamilioni ya shilingi...

READ MORE

Hivi Snura Huyo Chura Akipukutika Muziki Utaendelea

  HABARI wadau wa Barua Nzito, niwashukuru nyote kwa maoni na ushauri wenu kila wiki kuhusu safu hii. Mwishoni mwa...

READ MORE

Mzee Majuto, Snura Anakuchafua au Unajichafua Mwenyewe?

NI ukosefu wa heshima kwa mtu yeyote wa burudani, hasa za filamu za vichekesho, kutotambua uwezo wa muigizaji huyu bora...

READ MORE

Darassa, Snura Kufanya Shoo Ya Kishindo Chato

WAKALI wasioshikika kunako gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Mamaa Majanga’ na Sharif Thabeet ‘Darassa’ Jumamosi hii (Agosti...

READ MORE

Wolper, Snura Wachuana Kutupia Picha Instagram

MASTAA wa Bongo, Jacqueline Wolper na Snura Mushi wameendela kuchuana kutupia picha kwenye mitandao ya kijamii ambapo hivi sasa mastaa wa...

READ MORE