×

Tag: SPIKA

Spika wa Bunge la Kenya apiga marufuku mavazi yasiyofaa

Spika wa bunge la Kenya amepiga marufuku kile alichokieleza kuwa mavazi yasiyofaa yanayovaliwa na wabunge, hata kupiga marufuku vazi la...

READ MORE

Ndugai Aweka Wazi Adhima Yake ya Kung’atuka, Aomba Asieleweke Tofauti

MBUNGE wa Jimbo la Kongwa Job Ndugai ametangaza kutogombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.   Ndugai amesisitiza kuwa...

READ MORE

Naibu Spika wa Bunge Kuchaguliwa Februari 11

Katibu wa Bunge, Nenelwa Mwihambi ametangaza nafasi ya Naibu Spika wa Bunge kuwa wazi akivitaka vyama vyenye uwakilishi bungeni kuteua...

READ MORE

Mtia Nia Uspika: Nitawanunulia Wabunge Magari Mazuri, Nitaongeza Posho

Mgombea wa Kiti cha Spika katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kunje Ngombale Mwiru kutoka chama cha Sauti...

READ MORE

Hawa Ndio Wagombea 9 Wanaowania Uspika wa Bunge – Video

Saa chache ziliwa zimebaki kumfahamu atakayeongoza mhimili wa Bunge, Katibu wa Bunge, Nenelwa Mwihambi amesema wagombea tisa watawania naafasi hiyo...

READ MORE

CCM Yampitisha Dkt. Tulia Uspika

BREAKING NEWS: Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), leo Alhamisi Januari 20, 2022 imempitisha Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia...

READ MORE

Warithi wa Ndugai Wafikia 51

NAFASI iliyoachwa wazi ya Uspika wa Bunge la Tanzania na Job Ndugai, imeendelea kushindaniwa na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi...

READ MORE

Katiba Inasemaje Kuhusu Kiti cha Spika Kikiwa Wazi

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amejiuzulu nafasi hiyo kuanzia jana Januari 6, 2022 kwa hiari yake mwenyewe kwa...

READ MORE

UWT Wamtaka Ndugai Ajiuzulu

Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi – CCM (UWT) Mkoa Arusha wamemtaka Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Spika Amtimua Mbunge Aliyevaa Suruali ya Kubana Bungeni

  Spika wa Bunge,  Job Ndugai amemtoa katika ukumbi wa Bunge  mbunge wa Momba (CCM),  Condester Sichwale kutokana na kuvaa...

READ MORE

Ndugai: Mnaogopa Nini Kuleta Viambatanishi Ili Tuwavue Ubunge?

Spika wa Bunge , Job Ndugai amevitaka vyama vya siasa vinavyotaka kufukuza wanachama wao ambao ni wabunge kufuata sheria na...

READ MORE

Ripoti ya CAG Yatua Bungeni

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imewasili bungeni jijini Dodoma leo na Spika wa Bunge, Job...

READ MORE

Sekeseke Kung’olewa Spika DRC Lafika Pabaya

MUUNGANO wa vyama vya kisiasa wa FCC wa aliyekuwa rais wa Congo (DR), Joseph Kabila, umekiri kuwa kung’olewa kwa, Jeanine...

READ MORE

Ndugai: Nitawalinda Wabunge Viti Maalum CHADEMA

SPIKA wa Bunge la 12, Job Ndugai, amesema, kanuni za Bunge zinamtaka kuwalinda wabunge walio wachache na maslahi yao, hivyo ...

READ MORE

Ndugai Apendekezwa Spika wa Bunge,Tulia Naibu

  Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya  Chama cha Mapinduzi  CCM ambayo iliketi jana Dodoma  imempongeza Rais John Magufuli kwa...

READ MORE

Chama, Kagere Kuikosa Yanga, Bocco Atoa Kauli Ngumu – Video

KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vanderbroek na Nahodha wake, John Bocco, wamezungumza na wanahabari leo Novemba 06, kuelekea mchezo wao...

READ MORE

CCM Yatangaza Nafasi za Spika, Meya

BAADA ya kukamilika kwa uchaguzi mkuu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho kimepata ushindi mkubwa kimewaalika wanachama wa chama hicho wanaotaka...

READ MORE

Bunge Lakabidhi Majoho kwa Makinda, Msekwa, Marehemu Sitta – Video

Mkutano wa 18 wa Bunge umeanza leo Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine Spika Ndugai amekabidhi majoho kwa Maspika Wastaafu...

READ MORE

MJADALA MZITO UMEIBUKA: LISSU VS NDUGAI, MTANDAONI PACHAFUKA!

MJADALA HOT: TUNDU LISSU Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amefanya ziara barani Ulaya na Marekani na kuisema Serikali....

READ MORE

Baada ya Kumhoji CAG, Hii Ndiyo Kauli ya Kamati ya Bunge

DODOMA: Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, Emmanuel Mwakasaka, amesema kamati yake...

READ MORE

BUNGE LAOMBOLEZA KIFO CHA KASUKU BILAGO – VIDEO

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai ametoa taarifa rasmi bungeni kuhusu kifo cha MBUNGE wa Jimbo la Buyungu, wilayani Kakonko Mkoani...

READ MORE

Spika Amjibu Mbowe Kunyimwa Gari, ‘Kufutwa Upinzani Bungeni’ – Video

Spika wa Bunge, Job Ndugai, ametolea ufafanuzi hoja iliyotolewa na Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara, kuhusu iwapo kambi ya upinzani...

READ MORE

SPIKA NDUGAI: Makonda Amenitikisa – Video

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema zoezi linaloendelea katika Mkoa wa Dar es Salaam...

READ MORE