Steve Nyerere Awalipua Waliosusia Tuzo Za TMA – “Wakisusa Wasuse” – Video
Msanii wa filamu za Kibongo na mwenyekiti wa taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Steve Mengere maarufu Steve Nyerere, amewachana wasanii waliosusia tuzo za Tanzania Music Awards (TMA) na kueleza kwamba mtoto hawezi kususia nyumba iliyojengwa…
