Sumaye, Msekwa Waeleza Walivyomfahamu Mwapachu
Spika wa Bunge mstaafu Mzee Pius Msekwa na Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye, wamesema kuwa marehemu Bakari Mwapachu alikuwa ni mchapakazi na mtu makini katika kazi zake.
Kauli hiyo wameitoa hii leo Februari…
