The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

taifa stars

Taifa Stars Yaelekea Benin

LEO Oktoba 8 Timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars, imeondoka leo Ijumaa, Oktoba 8, 2021 majira ya saa 6 mchana kuelekea nchini Benin kwenye mchezo wa marudiano kufuzu Kombe la Dunia. Jana, Oktoba 7, Uwanja wa Mkapa, Taifa…

Serikali Kuibeba Taifa Stars

Katibu Mkuu wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali imejipanga kuisaidia Timu ya Taifa kwa kuipatia fedha ili kuongeza ufanisi wa timu hiyo ndani na nje ya nchi. Dkt. Abbasi amesema hayo…

Mastaa 10 wa Simba Kuikosa Kenya

KIM Poulsen, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa atakosa huduma za wachezaji 10 wa Simba kwenye mechi za kirafiki dhidi ya Kenya kutokana na wachezaji hao kuwa na kazi kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika.…

Kibarua cha Kocha Ndayiragije Chaota Nyasi Stars

SHIRIKISHO soka nchini, (TFF) leo Februari 11, 2021, limekubaliana kuvunja makubaliano na Kocha wa Taifa Stars, Etienne Ndayiragije.  Hii ni baada ya makubaliano ya kikao cha pamoja. Katika taarifa yake, TFF imeshumkuru…

Kim Poulsen Atajwa Taifa Stars

ALIYEWAHIkuwa mshauri wa ufundi kwa timu za taifa za vijana hapa nchini, Kim Poulsen raia wa Denmark, anatajwa kuja kuchukua mikoba ya Etienne Ndayiragije katika kikosi cha Taifa Stars. Poulsen ambaye pia aliwahi kuinoa…

Taifa Stars Kuwavaa Zambia Leo CHAN

KUELEKEA kwenye mchezo huo, kocha wa Taifa Stars, Mrundi Etienne Ndayiragije amesema “maandalizi yameenda vizuri, wachezaji wapo sawa. Kuhusu korona wamechekiwa wote wako sawa, tuko vizuri. Tunaendeelea kujiandaa kwenye vile ambavyo…