×

Tag: takukuru

RC Mwanza Aagiza Takukuru Kuchunguza Upotevu wa Milioni 15 Buchosa

MKUU wa Mkoa wa Mwanza Robert Gabliery ameagiza Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru) kuchunguza upotevu wa...

READ MORE

Rais Samia Apokea Ripoti Mpya, CAG Asema Deni la Taifa Limepanda Tsh. 7.76 Trilioni

Deni la Serikali Tanzania limeongezeka kutoka Sh56.76 trilioni mwaka uliopita hadi kufikia Sh64.52 trilioni kufikia Juni 30, 2021. Hayo yamesemwa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS 👉 https://apple.co/38HjiCx...

READ MORE

Majaliwa Awasimamisha Kazi Watendaji Wizara ya Fedha

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi Mkaguzi Mkuu, Mkaguzi Msaidizi pamoja na baadhi...

READ MORE

Brigedia Jenerali Mbungo Akabidhi Ofisi ya Takukuru

ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa  (TAKUKURU) Brigedia Jenerali John Julius Mbungo, jana Ijumaa Mei...

READ MORE

Ndugai: Kuna Ma-RC Wanajifanya Marais, TAKUKURU Mnaonea Watu

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Job Ndugai amesema wapo wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya ambao wamekuwa...

READ MORE

Afisa TRA Temeke Akamatwa kwa Tuhuma za Rushwa

Humphrey Mhagama amekamatwa kwa tuhuma kuomba Tsh. 500,000 ambapo alipokea Tsh. 250,000. TAKUKURU imesema Mtuhumiwa atafunguliwa Mashtaka kwa kosa la...

READ MORE

Afisa wa TAKUKURU Akamatwa kwa Kuomba Rushwa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imamkamata mtumishi wa taasisi hiyo aitwaye Zainab Mohamed Jabir, kwa kosa la...

READ MORE

Takukuru Yamwachia Kakoko kwa Dhamana

Mkurugenzi wa Takukuru, Brigedia Jenerali, John Mbungo amesema, imemwachia kwa dhamana, aliyekuwa Mkurugenzi wa Bandari, Deusdedit Kakoko, baada ya kumaliza...

READ MORE

Ofisa Chanjo Hanang’ Anusurika Kwenda Jela kwa Kughushi

MRATIBU chanjo wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, Mkojera Philemon Mkojera amenusurika kwenda jela miezi 12 baada ya...

READ MORE

Breaking: Mkurugenzi TPA Akamtwa na TAKUKURU

TAKUKURU inamshikilia kwa mahojiano Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko aliyesimamishwa kazi na Rais Samia...

READ MORE

Takukuru Yapunguza Matukio ya Rushwa Kwa 89.8%

Mkurugenzi Mkuu Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Brigedia Generali John Mbungo amesema wamefanikiwa kutekeleza mapambano dhidi ya...

READ MORE

Kortini Wakidaiwa Kuitia Hasara Sh Bil 1 Stamigold

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Kagera imewafikisha mahakamani watumishi wanne wa kampuni ya uchimbaji madini ya...

READ MORE

Watumishi wa Serikali Kizimbani kwa Tuhuma za Wizi

Ofisi ya TAKUKURU Mkoa wa Songwe leo tarehe 15/02/2021 imewafikisha watumishi wa umma wawili(02) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa...

READ MORE

Tanzania Yapaa Nafasi 23 Mapambano ya Rushwa Duniani

TANZANIA imeendelea kufanya vizuri katika mapambano dhidi ya rushwa ambapo kwa mujibu wa taarifa ya taasisi ya utafiti ya kimataifa,...

READ MORE

Kigogo Chama cha Wafanyakazi Kortini kwa Tuhuma za Utakatishaji Fedha

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemfikisha mahakamani aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Uhasibu katika Chama cha Wafanyakakazi...

READ MORE

Mkenya Anaswa Akitoa Hongo Apatiwe Cheti cha Corona TZ

RAIA wa Kenya, Alexander Mwikali (42), amefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Dodoma kwa tuhuma ya kutoa rushwa ya Sh....

READ MORE

Wanachuo 13 Mbaroni kwa Udanganyifu Mtihani wa ‘Sup’

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Dodoma inawashikilia wanafunzi 13 wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo...

READ MORE

Aliyejifanya Ofisa TAKUKURU Anaswa, Afikishwa Kortini

Mfanyabiashara, Edson Beanga Mkazi wa Dar es Salaam amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo...

READ MORE

Walimu ‘Wadanganyifu’ Mitihani Darasa la 7 Kutua Takukuru

WALIMU waliotajwa kuhusika na udanganyifu katika mitihani ya darasa la saba katika jiji la Arusha na Wilaya ya Kiteto, mashauri...

READ MORE

TAKUKURU, Mkurugenzi wa Jiji Dar Waokoa Bil. 12 Stendi ya Mbezi Luis

Mkurugenzi mkuu Takukuru, Brigedia John Mbungo amesema ofisi yake kwa kushirikiana na mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Zipora...

READ MORE

Mwalimu Mbaroni Tuhuma Rushwa ya Ngono kwa Denti Wake

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) Mkoa wa Mbeya, inamshikilia Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyeregete...

READ MORE

Mchungaji wa KKKT Ashikiliwa na Takukuru kwa Kutoa Mikopo Umiza

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) Mkoani Manyara inamshikilia mchungaji kiongozi wakanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)...

READ MORE

Lindi: Mgombea Ubunge (Chadema) ‘Akamatwa Kwa Rushwa’

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Lindi imemkamata na inamshikilia mgombea ubunge wa Jimbo la Mtama kupitia...

READ MORE

Hakimu Atuhumiwa Kupokea Rushwa 150,000/=

HAKIMU mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo Magugu,  Adeltus Richard Rweyendera, amefikishwa mahakamani na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa...

READ MORE

Takukuru Yamnasa Mfanyabiashara Tuhuma za Kukwepa Kodi Bil 6.3

TAKUKURU inamshikilia kwa mahojiano Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya White Star Investment Taalib Karim Mbowe, inayofanya biashara ya usafirishaji ndani...

READ MORE

Wanaswa na Takukuru Wakiwapelekea Fedha Wajumbe

TAASISI ya kuzuia na kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoani Mara inatarajia kuwahoji wagombea ubunge Viti Maalum sita mkoa wa Mara...

READ MORE

Mwanza: Mchina Ahukumiwa Jela kwa Kutoa Rushwa

MAHAKAMA  ya Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, imemhukumu kifungo cha miaka mitatu au kulipa faini ya Shilingi laki nane raia...

READ MORE

Wabunge 69 wa Mbowe Kuhojiwa TAKUKURU

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, inatarajia kuwahoji wabunge 69 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

READ MORE

TAKUKURU Yaanika Lilipofikia Jarada la Kangi Lugola

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) imeeleza lilipofikia Jarada la tuhuma za aliyekuwa Waziri wa...

READ MORE

TAKUKURU Yaanza Kuichunguza CHADEMA

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imeanza kuchunguza tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, inazokikabili Chama cha...

READ MORE

Takukuru Yamnasa Kigogo Ushirika, Madalali kwa Ubadhirifu – Video

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza inamshikilia Mhasibu wa AMCOS ya MHED iliyopo wilayani Kishapu...

READ MORE

TAKUKURU WAMNASA ‘TAKUKURU FEKI’

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Mkoa wa Dodoma inamshikilia Simon Mapunda Jumbe (43), mkazi wa Kisasa jijini...

READ MORE

JPM Amteua Brig. Jen. Mbungo Kuwa Mkurugenzi Takukuru – Video

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli amthibitisha Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia...

READ MORE

Bosi TAKUKURU, Msaidizi Wake Wanasa Kwenye Mtego wa Rushwa

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa – TAKUKURU inapenda kuufahamisha umma kwamba, watumishi wake wawili akiwemo Mkuu wa TAKUKURU...

READ MORE

TAKUKURU Yaokoa Bil 8 “Bado Bilioni 57, Tukaziokoa Zote” – Video

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) imeokoa zaidi ya shilingi bilioni nne, baada ya kukamilika kwa awamu...

READ MORE

TAKUKURU Yatoa Ripoti Sakata la Lugola – Video

Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini TAKUKURU imesema uchunguzi wa sakata la manunuzi ya vifaa vya zimamoto na...

READ MORE

Vigogo 6 wa Lugola Wafika TAKUKURU na Laptops Walizopewa Ulaya

WALIOKUWA wajumbe wa kamati ya utekelezaji wa makubaliano yaliyosainiwa Agosti 22, 2019, kati ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na...

READ MORE