The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

tambwe

Tambwe Kumwaga Machozi

MSHAMBULIAJI wa DTB, Amissi Tambwe amesema kuwa changamoto kubwa ambayo wanakumbana nayo katika ligi daraja la kwanza ni kuchezewa mpira wa kihuni kutokana na ligi hiyo kutoonyeshwa kwenye televisheni. Tambwe mpaka sasa amefanikiwa…

Yanga Yaahidi Kumlipa Tambwe

MABINGWA wa kihistoria Tanzania, Yanga wamesema kuwa hawajapokea taarifa rasmi za kufungiwa kufanya usajili na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA). Hiyo ikiwa ni siku moja tangu zianze kuzagaa taarifa za FIFA kuifungia…

Tambwe Awaonya Simba

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe ameibuka na kusema kuwa kitendo cha uongozi wa Yanga kumsajili mshambuliaji, Saidi Ntibazonkiza wamefanya jambo sahihi. Yanga juzi usiku ilitangaza kumsajili mchezaji…

Tambwe Ampa Tuzo Kagere

KASI aliyonayo mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere katika utupiaji mabao umemfanya straika wa Yanga, Amissi Tambwe aseme kuwa ndiye atakuwa mfungaji bora na rekodi yake ataivunja. Tambwe anashikilia rekodi ya kufunga mabao 21…

Tambwe awapagawisha Yanga

ALICHOKIFANYA, Amissi Tambwe juzi Jumatatu huko jijini Mbeya alipoiongoza Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Prisons kimezua balaa makao makuu ya klabu hiyo. Katika mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa Tambwe alionyesha…

Muziki wa Kagere wamuibua Tambwe

STRAIKA wa Yanga, Amissi Tambwe, ameibuka na kusema straika wa Simba, Meddie Kagere ni moto wa kuotea mbali. Ni baada ya Kagere kufunga mabao yote mawili juzi, wakati Simba ikiichinja JKT Tanzania 2-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara katika…

Tambwe Karudi, Waleteni Simba Sasa!

BAADA ya Simba kushinda jioni, Yanga ilijibu mapigo kwa kushinda usiku huku Amissi Tambwe akirejea kwenye makali yake kwa ku­funga mabao mawili ‘brace’. Timu hizo zimeshinda kuelekea kwenye mchezo wao utakaochezwa Septemba 30, na sasa…

Tambwe amshangaa kocha Simba

KAULI ya Kocha Msaidizi wa Simba, Masoud Djuma, aliyedai kwamba atafurahi zaidi kama straika wake Emmanuel Okwi atafunga mabao 30 msimu huu, imemshitua mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe. Tambwe ambaye anashikilia rekodi ya kufunga…

Tambwe, Chirwa Wawatuliza Yanga

WASHAMBULIAJI wa kutumainiwa wa Yanga, Obery Chirwa pamoja na Amissi Tambwe leo hii wataungana na kikosi hicho katika mazoezi ya kujiandaa na mechi yao ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Njombe Mji katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.…

Tambwe: Nimemisi Kuifunga Simba

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe, amesema kuwa endapo atapata nafasi ya kuanza katika mchezo wa Ngao ya Jamii, Jumatano hii dhidi ya Simba, anataka kuandika rekodi nyingine. Akizungumza na Championi Jumatatu,…

Tambwe Mambo Safi Yanga

UONGOZI wa Yanga upo kwenye hatua za mwisho za kufanikisha kumuongezea mkataba mwingine mshambuliaji wao tegemeo raia wa Burundi, Amissi Tambwe. Yanga wanamuongezea mkataba Mrundi huyo, baada ya ule wa awali kumalizika…

Tambwe Amfunika Kichuya

Omary Mdose | CHAMPIONI| Dar es Salaam STRAIKA wa Yanga, Amissi Tambwe, amemfunika kiungo mshambuliaji wa Simba, Shiza Kichuya kwa kukaa muda mrefu bila ya kufunga bao kwenye michezo ya Ligi Kuu Bara. Tambwe mwenye mabao kumi…

Tambwe Aitangazia Vita Simba

Sweetbert Lukonge | CHAMPIONI JUMNATATU| Dar es Salaam BAADA ya juzi Jumamosi, mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe kuiongoza timu yake hiyo kutinga nusu fainali ya Kombe la FA, amesema kuwa makali yake hayo…