The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

TANGA

Watakaopandisha Bei ya Saruji Kunyang’anywa Leseni

SERIKALI imesema itawachukulia hatua kali za kisheria, ikiwemo kuwanyang’anya leseni wale wote watakaobainika kuuza saruji kwa bei ya juu. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigella, mara baada ya kutembelea…

ZITTO KABWE AJIPELEKA TAKUKURU

MBUNGE wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT - Wazalendo, Zitto Kabwe, amepeleka ushahidi wa tuhuma za rushwa inayodaiwa kuhusisha viongozi wa juu Serikalini katika mradi wa uzalishaji chuma wa Mchuchuma na Liganga kwa Taasisi ya…