×

Tag: Tetemeko

Watu 21 Wafariki Kutokana na Tetemeko la Ardhi Nchini China

TAKRIBANI watu 21 wamefariki dunia na wengine 30 kujeruhiwa baada ya tetemeko la ardhi kupiga katika Mji wa Kangding uliopo...

READ MORE

Matetemeko Mawili Yaua Watu 20 Afghanistan

MAOFISA Usalama nchini Afghanistan wamesema watu zaidi ya 20 wamefariki kufikia sasa baada ya matetemeko ya ardhi ya mfululizo kukumba...

READ MORE

Tetemeko la Ardhi Laua 20 na Kujeruhi Zaidi ya 300 Pakistan

TAKRIBANI watu 20 wakiwemo watoto saba wamefariki dunia na wengine zaidi ya 300 kujeruhiwa, katika tetemeko lililoipiga Pakistan usiku wa...

READ MORE

Tetemeko la Ardhi Lapita Mara

Majira ya saa 10:47 alfajiri, usiku wa kuamkia leo Machi 11, Mkoa wa Mara na maeneo jirani ya Kanda ya...

READ MORE

TAHARUKI! Tetemeko Lapiga Ugiriki

  TETEMEKO la ardhi lenye ukubwa wa 6.3 katika kipimo cha richter limekumba eneo la kati mwa Ugiriki leo na...

READ MORE

Tetemeko Uturuki: Wawili Zaidi Waokolewa Kwenye Kifusi

WATOTO wawili wa kike wameokolewa kutoka kwenye kifusi cha jengo lililoanguka siku tatu baada ya kutokea tetemeko la ardhi lililosababisha...

READ MORE

24 Wafariki kwa Tetemeko Uturuki

WATU 24 wamefariki kwa tetemeko la ardhi lililotokea jana  huku wengine takriban 804 wakijeruhiwa.   Rais Recep Tayyip Erdogan amesema...

READ MORE

Tetemeko Lenye Kubwa Laipiga Uturuki

Tetemeko la Ardhi lililotokea mchana wa Ijumaa ya tarehe 30 Octoba 2020 katika ukanda wa Bahari ya Aegean limeharibu miundombinu...

READ MORE

TMA: Tetemeko Dar, Hakuna Tishio la Tsunami

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa kuhusu hali ya bahari kufuatia tetemeko la ardhi chini ya Bahari...

READ MORE

Breaking: Tetemeko la Ardhi Lapiga Dar & Pwani

TTEMEKO la ardhi lenye kipimo cha richter 5.9, limepita katika baadhi ya maeneo nchini Tanzania na kudumu kwa sekunde kadhaa,...

READ MORE

Tetemeko la Ardhi Lapiga Geita

TETEMEKO la ardhi limetokea majira ya saa 6:07 usiku wa kuamkia leo na kutikisa maeneo ya Kanda ya Ziwa hususani...

READ MORE

Tetemeko la Ardhi Uturuki: Watu 19 Wafariki, 300 Wajeruhiwa

Watu 14 wafariki katika tetemeko la ardhi katika eneo la Mashariki mwa Uturuki. Tetemeko la ardhi ambalo lilikuwa na ukubwa...

READ MORE

Watu 13 Wafariki Katika Tetemeko La Ardhi Albania – Video

Watu 13  wamepoteza maisha na wengine zaidi ya  320 wamejeruhiwa katika tetemeko la Ardhi lililotolea asubuhi ya Novemba 26 huko...

READ MORE

Taarifa kwa Umma Kuhusu Tetemeko la Ardhi Katavi

TAREHE  9/09/2019 majira ya saa 9:38 usiku kumetokea tetemeko la ardhi katika kijiji cha Sibwesa Kata ya Sibwesa karibu na...

READ MORE

Tetemeko la Ardhi Laipiga Katavi – Video

TETEMEKO kubwa la ardhi limetokea usiku wa kuamkia leo majira ya saa 9:30 (usiku wa kuamkia leo) mkoani Katavi na...

READ MORE

TETEMEKO LA ARDHI LAUA MMOJA SONGWE

MKAZI mmoja wa Kijiji cha Iyula, Kata ya Iyula wilaya ya Mbozi, SONGWE, Mwanji Mtega amefariki dunia kufuatia tetemeko la...

READ MORE

Tetemeko Latokea Rukwa na DR Congo

Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa  kipimo cha ritcher 4.4 na kina cha Kilomita 10 limetokea katika baadhi ya maeneo...

READ MORE

Mwanza: Askari wa Kike Afariki kwa Tetemeko la Ardhi

ASKARI Polisi wa kike amefariki dunia leo mchana wilayani Misungwi baada ya kupatwa na mshtuko kufuatia kutokea kwa tetemeko la...

READ MORE

Magufuli Ashiriki Ibada ya Mwaka Mpya Kagera

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba...

READ MORE

Waziri Mkuu Aongoza Maelfu Kuaga Miili ya Waliofariki kwa Tetemeko Kagera

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa jana ameongoza maelfu ya waombolezaji kuaga miili ya watu waliofariki kutokana na tetemeko la ardhi...

READ MORE