Msanii Timbulo amerudi tena kwenye game baada ya kuwa kimya kwa muda na time hii amekuja na colabo na Baraka...