Trafiki anaswa kwa rushwa
JESHI la polisi mkoani Tanga limemnasa Askari Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Koplo Antony Temu kwa kudaiwa kupokea rushwa.
Akizungumza na gazeti hili juzi, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tanga, SACP Godfrey Kamwela alisema askari…
