×

Tag: Trafiki

Skendo Rushwa Trafiki, Polisi Yafunguka

VITENDO vya kuomba na kupokea rushwa kwa baadhi ya askari vinazidi kulitikisa Jeshi la Polisi nchini, huku askari wawili katika...

READ MORE

Trafiki Kuwachapa Bakora Madereva Bodaboda, Waziri Abanwa – Video

Mbunge wa Ndanda (Chadema), Cecil Mwambe amesema kuwa bado kuna baadhi ya askari wa barabarani wamekuwa wakiwakimbiza waendesha boda boda...

READ MORE

KIMBEMBE !ALICHOKIFANYA TRAFIKI HUYU HUWEZI KUAMINI

MOROGORO: NI patashika nguo kuchanika! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kijana mmoja wa Kimasai kuibua kimbembe cha aina yake baada...

READ MORE

Masauni Aagiza Trafiki Waliomshambulia Dereva na Abiria Wawajibishwe

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameonesha kukerwa na kitendo cha askari wa wawili wa...

READ MORE

MADEREVA WAANZA KUTENGENEZA VYETI FEKI, POLISI WAWASHTUKIA

Jeshi la Polisi Nchini limesema limepata taarifa za uwepo wa madereva wa magari ya abiria ambao wameanza kutengeneza vyeti bandia...

READ MORE

BREAKING NEWS: Trafiki Agongwa Gari Mataa ya Sayansi Dar

OFISA wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani ambaye jina lake halijatajwa amepata ajali ya kugongwa na gari wakati akiongoza magari...

READ MORE

TRAFIKI ADAIWA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU NDANI YA GARI

Hili ni fumanizi la kufunga mwaka! Ndivyo walivyosikika wapenda ubuyu baada ya kushuhudia tukio la trafiki aliyefahamika kwa jina la...

READ MORE

Duh! Trafiki Mpenda Rushwa Yamkuta Nyumbani Kwake (Comedy)

Global Comedy inaendelea kupasua anga ambapo safari hii, Anko Oga na wapwa zake wamezua jipya. Hii ni baada ya anko...

READ MORE

Madereva Walevi Kupimwa Kilevi Kwa Mashine Pwani

KATIKA hatua ya kukomesha ajali za magari mkoani Pwani imeamua kuwapima kilevi madereva wote wanaopita mkoa huo. Zoezi la kuwapima...

READ MORE

VIDEO: Trafiki, Bongo Movie na Bongo Fleva Sasa Nguvu Moja Kutokomeza Ajali

  WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani imeamua kuunganisha nguvu na wasanii hapa nchini...

READ MORE

Tamasha la Bodaboda Kutikisa Dar, Trafiki na Waendesha Bodaboda Kusakata Soka

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JP Decaus, Elia Richard akizungumza na wanahabari. TAMASHA la Pikipiki maarufu kama Tamasha la Bodaboda...

READ MORE

Mpinga Afunga Kampeni ya ‘Abiria Paza Sauti’ Ubungo Dar

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu Kamishina wa Jeshi la Polisi (DCP), Mohamed Mpinga akizungumza jambo. Mpinga akikabidhi mmoja...

READ MORE

Trafiki Aliyeuawa Aagwa, Sirro Aahidi Kuwadaka Wauaji

Jeneza la marehemu Sajent Alex Njau aliyeuawa usiku wa Ijumaa wiki iliyopita kwa kupigwa risasi. ASKARI wa usalama barabarani Sajent Alex...

READ MORE