The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

tunda

Whozu Amfunga Breki Tunda

ANASTAZIA Sebastian Kimaro almaarufu kama Tunda, ni mwanadada mrembo ambaye amekuwa akitambulika kama muuza nyago ‘video vixen’ kwenye video za nyimbo za wasanii wa Bongo Fleva. Tunda ameonekana kwenye video kama Augelina,…

Whozu Tunda hawezi kunisaliti

BAADA ya tetesi kuzagaa kuwa ameonekana hotelini akiwa na mwanaume mwingine mwenye asili ya Kinigeria, mwanamuziki wa Bongo Fleva, Whozu amefunguka kuwa mpenzi wake, Tunda Sebastian hawezi kumsaliti hivyo habari hizo siyo za kweli. …

Tunda Awaka Kuitwa Chuma Ulete

VIDEO vixen asiyeishiwa habari Bongo, Tunda Sebastian amewaka ile mbaya na kuhoji kwa nini watu wanamuita chuma ulete kwani ni jina geni kwake na linatokana na ushirikina kwenye biashara. Tunda anayependa kujiachia kwenye…

TUNDA ANG’AKA KUMWAGANA NA WHOZU

VIDEO Vixen Bongo, Ana Kimario ‘Tunda’ amesema anashangaa kuona watu wakimnanga kwenye mitandao ya kijamii kuwa ameachana na mpenzi wake wa sasa Whozu wakati si kweli. Akizungumza na Amani, Tunda alisema Wabongo siku zote wamekuwa na…

Tunda akiwa penzini ni kujifungia

PENZI ni tamu kama asali! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya video queen, Tunda Sebastian kueleza kuwa akiwa katika mapenzi mazito hatamani kabisa kutembeatembea na mpenzi wake bali kazi yao inakuwa ni moja tu kujifungia ndani.  Tunda…

TUNDA: PIERRE ANAKATA STRESS ZANGU

MUUZA nyago maarufu Bongo, Anna Kimario ‘Tunda’ amesema hakuna mtu anayemtoa stress kama mchekeshaji maarufu wa mtandaoni Peter Mollel ‘Pierre Konki Liquid’ kutokana na vituko vyake.  Akizungumza na Risasi Jumamosi, Tunda alisema…

TUNDA AJIPANGA KURUDI SHULE

MREMBO aliyejipatia umaarufu kupitia video za wasanii mbalimbali pamoja na matukio kwenye mitandao ya kijamii, Anna Kimario ‘Tunda’ ameeleza kuwa, anajipanga kurudi shule ili kujiongezea elimu. Akichonga na Risasi Jumamosi…

Tunda, Bella Kupanda Jukwaa Moja

 MUUZA nyago kwenye video za Kibongo, Tunda Sebastian anatarajiwa kupendezesha usiku wa King of The Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ utakaofanyika Novemba 30, mwaka huu ndani ya Meeda, Sinza jijini Dar. Katika usiku huo…

Tunda Hajui Kubembeleza Mwanaume

MUUZA nyago maarufu kwenye video mbalimbali za wasanii wa Bongo Fleva, Tunda Sebastian amefunguka kuwa, watu wanamuona hawezi kudumu na mwanaume mmoja, lakini ni kwa sababu hapendi kufanyiwa ujinga kisha kunyamaza kama walivyo wanawake…