Kongamano Kubwa la Vijana Kufanyika UDSM, Novemba 12, 2022
Zaidi ya vijana 500, kesho Jumamosi wanatarajia kushiriki kwenye Semina ya siku moja iliyoandaliwa na FD360 ya tukio la fursa kwa vijana kukutana na watu wanao watizama kama mfano ambalo litafanyika bila kiingilio kwenye…
