Aunt: Iyobo Hashitushwi na Picha zangu za Utupu
STAA wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel, amesema kuwa Moses Iyobo ambaye ni mzazi mwenziye hashtushwi hata kidogo na picha anazopiga akiwa amevaa mashuka na za nusu utupu kwa sababu anajua ni kwa ajili ya kibiashara tu.…
