Vifaa vya Serikali Vilivyoibiwa Buchosa Vyakamatwa – Video
SIKU chache baada ya Mbunge wa Buchosa, Mhe. Eric Shigongo kutoa malalamiko yake kwa serikali kuwa wapo baadhi ya wafanyakazi wa Halmashauri ya Buchosa ambao siyo waaminifu na wamekuwa wakiiba fedha za maendeleo na…
