Hati za Viwanja vya Wachezaji wa Taifa Stars Ziko Tayari
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas ametembelea eneo la Mtumba Dodoma kukagua viwanja alivyoahidi Rais Magufuli kwa wachezaji wa Taifa Stars, bondia…
