Rais Samia Asamehe Wafungwa 5,704, Atoa Masharti – Video
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 5,704 kuachiwa huru katika kumbukizi ya miaka 60 ya sikukuu ya uhuru iliyofanyika Desemba 9, mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa…
