Serikali Kuruhusu Biashara ya Usafirishaji Wanyamapori Nje ya Nchi
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amesema Serikali itaondoa zuio la biashara ya usafirishaji wa wanyamapori hai nje ya nchi lakini wafanyabiashara watatakiwa kuzingatia taratibu za usafirishaji.
…
