×

Tag: wasafi festival

Queen Darleen, Mbosso na TID Waweka Historia Dar – Video

USIKU wa kuamkia leo Novemba 10, 2019 wamefanya shoo ya aina yake katika Tamasha la Wasafi Festival 2019 jijini Dar...

READ MORE

Wasafi Festival Yaacha Historia Dodoma – Video

 USIKU wa kuamkia leo Agosti 8, 2019,  ilifanyika shoo ya nne ya Wasafi Festival 2019 mkoani Dodoma, Uwanja wa...

READ MORE

VIDEO: VITUKO Vya RC MWANRI Stejini Wasafi Festival “SUKUMA NDANI”

 Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri, ameibuka usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Julai 22, 2019 kwenye shoo ya...

READ MORE

MBOSSO AFANYA SHOO YA AINA YAKE MLIMANI CITY (PICHA + VIDEO)

  Msanii wa muziki kutoka lebo ya Wasafi Classic Baby  (WCB), Mbosso,  alipiga shoo yaaina yake usiku wa utoaji wa...

READ MORE

SHANGWE ZA WASAFI FESTIVAL MWANZA USIPIME CCM KIRUMBA! (Picha +Video)

USIKU wa kuamkia leo Tamasha la Wasafi Festival lilofanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Baadhi ya wasanii watakaotumbuiza...

READ MORE

Diamond: WASAFI FESTIVAL Kurudiwa Bure leo Sumbawanga – Video

 Tamasha la Wasafi Festival lililokuwa likifanyika jana (Jumamosi) usiku limeahirishwa baada ya mvua kubwa kunyesha na hivyo kushindwa kuendelea....

READ MORE

CHID BENZ: AFANDE SELE Kaniita ‘SHOGA’, Nampa Masaa 19, La Sivyo….! – VIDEO

KUFUATIA kauli iliyotolewa na Msanii Mkongwe wa Hip Hop kutoka Morogoro, Afande Sele, ya kusema kuwa Wasanii wote wanaojihusisha na...

READ MORE

PICHAZ: Mapokezi ya Wasanii wa Wasafi Festival Iringa Usipine

BAADA ya wiki iliyopita Wasafi Festival kuzinduliwa mkoani Mtwara kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Crew ya WCB, leo Ijumaa itakuwa...

READ MORE

Balaa la Harmonize Akielekea Iringa – VIDEO

KAMA unaufahamu moto wa Harmonize pale WCB lazma utaelewa namna anavyokusanya kijiji na kusepa nacho hata kama akionekana maeneo kwa...

READ MORE

DIAMOND ASIMAMISHA KIJIJI MOROGORO – VIDEO

STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz akiwa njiani kuelekea mkoani Iringa kwenye Tamasha la Wasafi Festival 2018, amejikuta akivamiwa na...

READ MORE

DIAMOND KUKINUKISHA UPYA WASAFI FESTIVAL IRINGA

  RAIS wa Crew ya Wasafi Classic Baby ‘WCB’, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, baada ya kukinukisha vilivyo kwenye uzinduzi wa...

READ MORE

HAWA WASAFI BANA, TABU TUPU MTWARA – VIDEO

LILE tamasha la muziki la kukata na shoka la Wasafi Festival, limeacha balaa tupu mjini Mtwara, Ijumaa Wikienda ni shuhuda...

READ MORE

Wasanii Wafunikana Wasafi Festival 2018 Mtwara

Usiku wa kuamkia leo limefanyika tamasha la Wasafi Festival 2018  katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara. Wasanii waliotumbuiza katika...

READ MORE

Diamond Platnumz Aweka Historia Nangwanda Mtwara

Msanii wa muziki wa kizazi kipya na C.E.O wa lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Diamond Platinumz,  ameacha historia ya...

READ MORE

HARMONIZE AFUNIKA WASAFI FESTIVAL 2018 MTWARA

Msanii wa muziki kutoka Wasafi Classic Baby (WCB), Harmonize, amefanya shoo ya aina yake katika tamasha la Wasafi Festival 2018...

READ MORE

LIVE: WASAFI FESTIVAL 2018 KUTOKA MTWARA USIKU HUU (PICHA + VIDEO)

 Kwa mara ya kwanza Mapinduzi ya Burudani Wasafi Festival2018 yanaendelea kufanyika usiku huu katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona Mkoani...

READ MORE

Steji ya Wasafi Festival Mtwara Usipime!

Tamasha la Wasafi Festival linafanyika leo katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona kwa wakazi wote wa Mtwara na mikoa ya Kusini....

READ MORE

DIAMOND Afunga Barabara, Wolper, Rayvanny Mauno Hadharani! – VIDEO

ZIKIWA zimebaki saa chache kulifikia Uzinduzi wa Tamasha la Wasafi Festival 2018 mkoani Mtwara, staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz...

READ MORE