×

Tag: WASANII BURUDANI

WAKATI AKITIMIZA MIAKA 10 SKENDO YA FREEMASON YAZIDI KUMTESA MONDI

DAR ES SALAAM: Wakati akitimiza miaka kumi ya ustaa wake ndani ya Bongo Fleva, mwanamuziki mkubwa wa Bongo Fleva, Nasibu...

READ MORE

MONDI AMUUMBUA ZARI UGANDA!

MAMBO ni moto! Bado ‘muvi’ la zilipendwa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ linazidi kutikisa...

READ MORE

TISHIO LA AL -SHABAAB, HARMONIZE ULINZI MKALI SUDAN

DAR ES SALAAM: Achana na ule ulinzi wa kawaida wa mabaunsa wanne ambao amekuwa akiutumia nchini Tanzania, mkali wa Bongo...

READ MORE

LYNN ADAIWA KURUSHA DONGO KWA TANASHA

Video vixen ambaye huko nyuma alibeba skendo ya kutoka kimapenzi na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Irene...

READ MORE

MAMA WA NICKI MINAJ AJITOSA KWENYE MUZIKI

LIKE Mother Like Daughter! Unaweza sema hivyo baada ya mama mzazi wa rapa wa kike anayekimbiza kunako Muziki wa Hip...

READ MORE

SIRI IMEVUJA DIMPOZ, ZARI WALALA NYUMBA YA MONDI

 ACHANA na mapichapicha ya Nairobi nchini Kenya yaliyosambaa kama moto wa kifuu kwenye mitandao ya kijamii, taarifa mpya imevuja kwamba,...

READ MORE

HIVI NDIVYO RAYVANNY ANAVYOMUONA FAHYMA

Mwanamuziki mahiri kutoka Kundi la WCB, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ amesema kuwa mpenzi wake ambaye pia amezaa naye motto mmoja Fahyma,...

READ MORE

Q CHILLA ‘AOTA’ KURUDIA ENZI

MWANAMUZIKI wa Kizazi Kipya, Abubakary Katwila ‘Q-Chillah’ amejitapa kurudi katika gemu la muziki kama ilivyokuwa mwanzoni mwa miaka ya 2000...

READ MORE

LULU DIVA AMFUNGUKIA RIYAMA

STAA wa Bongo Fleva ambaye, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amemfungukia staa mwenzake kwenye tasnia ya filamu Bongo, Riyama Ally kuwa...

READ MORE

UCHEBE AFUNGUKA KUMDUNDA SHILOLE

MUME wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ Ashiraf Uchebe, amesema tangu aanze kuwa na uhusiano wa kimapenzi na...

READ MORE

NEVER GIVE UP YA HARMONIZE NA ELIMU YA KUKATA TAMAA KIBWEGE!

usiku nikiwa ndani ya gari yangu maeneo ya Mwenge jijini Dar kuelekea nyumbani kwangu Goba. Ni eneo linalosifika sana kwa...

READ MORE

KUTOKA ‘SEBULENI ‘ HADI VIWANJANI

MAISHA yanakwenda kasi kweli! Wasanii wengi kwa sasa wanakimbizana na dijitali! Leo hii huyu anakimbiza kupata views kwenye Mtandao wa...

READ MORE

FAIZA AFURAHIA SUGU KUPATA MTOTO

TOFAUTI na matarajio ya wambeya wa Instagram, kwamba mzazi mwenziye Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally atakuwa...

READ MORE

AMINI: PIGA UA LAZIMA NIZAE NA LINAH

DAR ES SALAAM: MWANAMUZIKI maarufu wa Bongo Fleva, Amini Mwinyimkuu ameamua kufunguka kuwa, anatamani sana kuzaa na mwanamuziki mwenzake Esterlina...

READ MORE

 CHUCHU AACHA FUMBO PENZI LAKE NA RAY

MZAZI mwenziye na muigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’, Chuchu Hans amesema kuwa mpaka sasa watu wengi wako kwenye sintofahamu juu ya...

READ MORE

MAPENZI YA AIKA , NAHREEL ACHA KABISA

STAA wa Bongo Fleva, aliye memba wa Navy Kenzo, Aika Mariale amewafungukia watu wanaowashauri wafunge ndoa na mzazi mwenzake Emmanuel...

READ MORE

BAADA YA KUAMUA KUBADILISHA MAISHA YAKE …HUYU NDIO NORA WA SASA!

MIAKA ya 2000, kupitia igizo lililotokea kupendwa sana la Fukuto, lililokuwa likirushwa na Televisheni ya I.T.V chini ya kundi la...

READ MORE

LE MUTUZ AOMBEWA AFYA

KUTETELEKA kwa afya ya Mwanablogu maarufu nchini, William Malecela a.k.a Le-Mutuz kulikosababisha alazwe Hospitali ya Taifa Muhimbili; Taasisi ya Moyo...

READ MORE

MBASHA AMAINDI INJILI KUTHAMINIWA MSIBANI

MSANII wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha ameonesha kutofurahishwa na kitendo cha nyimbo zao kupigwa nyakati za misiba tu kisha...

READ MORE

PROF JAY AMPA HESHIMA MONDI

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Joseph Haule ‘Professor J’ ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mikumi mkoani Morogoro,...

READ MORE

WEMA AJIVUNIA KUTUA MZIGO WA MWILI

DIVA wa sinema za Kibongo, mwenye nyota ya kipee Wema Sepetu amesema mwili aliokuwa nao huko nyuma ulikuwa ni sawa...

READ MORE

LINAH ADAIWA KUJALADIA MAKALIO

MREMBO kutoka Bongo Flevani, Esterlina Sanga ‘Linah’ amekwaa skendo ya ‘kujaladia’ makalio baada ya kuonekana katika picha mpya akiwa amejaa zaidi...

READ MORE

WEMA: NIKIMSIFIA KIBA KUNA MTU ANATESEKA ?

 STAA wa filamu Bongo Muvi, Wema Sepetu amesema kuwa hawezi kuficha hisia zake kwa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ali Kiba,...

READ MORE

MASTAA BONGO WANAVYOHENYA CHINA

MASTAA Bongo ambao ni wafanyabiashara wanaokwenda nchini China wamekuwa wakihenya pale wanapokwenda kusaka biashara ingawa wakifika hapa Bongo, hakuna anayeweza...

READ MORE

TESSY AFUNGUKIA MADAI YA KUVALIANA NGUO NA UWOYA

BAADA ya picha yake kusambaa mitandaoni akiwa amevaa nguo sare na aliyowahi kuonekana ameivaa msanii wa filamu za Kibongo, Irene...

READ MORE

LULU DIVA ACHOMOA KUZAA, KUTELEKEZA MTOTO

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amefunguka kuwa madai ya kuzaa mtoto na kumtelekeza kijijini kwao ni ya...

READ MORE

ROSA REE AMEBANA AMEACHIA , UGUMU TUPA KULE

Rosa Ree ni mmoja wa mabinti wanaokuja kwa kasi kwenye muziki wa Hip Hop barani Afrika akitokea Bongo Flevani.   ...

READ MORE

PIERRE ASIPOFUNGA ZIPU …? APEWA TAHADHARI

ASIPOFUNGA zipu yatamkuta! Ndiyo mijadala inayoendelea katika mitandao ya kijamii baada ya picha mbalimbali kusambaa zikimuonesha jamaa aliyejizolea umaarufu Bongo...

READ MORE

MASTAA BONGO WAISHI KWA NAMBA 9

UKIONA mtu anatukanwa halafu anacheka ujue maisha yake yanaongozwa na namba 9. Uzuri wa namba hii ni kwamba hutoa majibu...

READ MORE

AMINI TRUE LOVE NEVER DIE !

NI kitambo kidogo mambo yamekuwa ni moto kati ya wasanii wa muziki Bongo, Amini Mwinyimkuu na Asterlina Sanga ‘Linah’. Awali...

READ MORE

ASLAY: NASHUKA NA BENDI DAR LIVE PASAKA HII

K WA mara ya kwanza tangu atoke Yamoto Band, staa wa muziki wa Bongo Fleva, Aslay Isihaka amesema kuwa atashuka...

READ MORE

KWA HILI MAMA WEMA ANAJIPA PRESHA ZA BURE!

LENGO la makala haya ni kueleza jinsi mama wa staa mkubwa Bongo, Wema Sepetu, Miriam Sepetu anavyojitafutia presha za bure...

READ MORE

AMBER LULU ATESWA NA NDOTO ZA YOUNG D

 MSANII aliyeibukia kwenye Bongo Fleva, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ amesema kuwa anasumbuliwa na ndoto za mwanamuziki mwenziye ambaye waliwahi kuwa...

READ MORE

ZENGWE LAIBUKA MJENGO WA MBOSSO

ZENGWE limeibuka! Siku chache baada ya msanii kutoka lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mbwana Yusuph ‘Mbosso’ kuunadi mjengo mpya...

READ MORE

AUNT: JAMANI MWACHENI MWANANGU

CHONDECHONDE! Staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amewaomba baadhi ya watu kuacha kumsimanga mwanaye, Cookie kuhusiana na nywele zake...

READ MORE

PENNY AFUNGUKA YA KUSHANGAZA

ALIYEKUWA mtangazaji wa EFM Radio ambaye pia ni DJ, Penieli Mungilwa ‘Penny’ amefunguka ya kushangaza kuwa ni ngumu kwake kuacha...

READ MORE

SANCHI AVUTIWA NA UHUSIANO WA MONDI NA TANASHA

MWANAMITINDO Jane Ramoy ‘Sanchi’ ameeleza kuwa anavutiwa sana na uhusiano wa kimapenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Sanchi’ na Tanasha Donna...

READ MORE

NDOA YA SHAMSA KUVUNJIKA KISA MTOTO?

MWIGIZAJI bomba wa Bongo Muvi, Shamsa Ford amewajibu wanaomsema kwamba ameshindwa kumzalia mume wake, Chid Mapenzi mtoto na kwamba ndoa...

READ MORE

LYNN AMTIKISA TANASHA KWA MONDI

DAR ES SAAM: Msanii na video queen maarufu Bongo Irene Louis ‘Lyyn’ kwa mara ya kwanza amefunguka juu ya tetesi...

READ MORE

KWA MARA YA KWANZA, MONDI AMLIPUA VIBAYA ZARI!

DAR ES SALAAM: BAADA ya kimya kirefu tangu wamwagane, msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameibuka hadharani na...

READ MORE