×

Tag: watoto

Mama wa Watoto 10: Mume Wangu Anataka Nizae Watoto 22

MAMA mmoja mwenye jumla ya watoto 10 kutoka kaunti ya Kakamega nchini Kenya aliyejitambulisha kwa jina la Gentrix Wekesa ameeleza...

READ MORE

Watoto Wadogo Marufuku Majumba ya Starehe

JESHI la Polisi Mkoa Arusha limewataka wakazi mkoa Arusha, kuchukuwa tahadhari za uhalifu na kutopeleka watoto wadogo kwenye majumba ya...

READ MORE

Mume, Mke Wakamatwa kwa Kuwauza Watoto Wao

VIKOSI vya usalama vya vya ulinzi wa raia nchini Nigeria vimemkamata mwanaume mmoja kwa jina, Elisha Effiong, kwa madai ya...

READ MORE

Unyama! Baba wa Kambo Aua Watoto Wawili wa Mkewe

WATOTO wawili wa familia moja wameuawa na baba yao wa kambo kwa kuwaziba midomo na kukosa pumzi baada ya kutokea...

READ MORE

Mama Aliyejifungua Watoto 9 kwa Mkupuo Aanika Sura Zao

HABARI nyingine njema ambayo inakimbiza urimwenguni ni kuhusu mwanamke mmoja raia wa Mali, Halima Cisse, (26) ambaye mwezi Mei alijifungua...

READ MORE

Mwanamke Ajifungua Watoto Saba

KWA kawaida tumezoea kuona ama kusikia mwanamke akijifungua mtoto mmoja, mapaha wawili na mara chache sana mapacha watatu au wanne,...

READ MORE

Mbaroni kwa Kuuza Watoto kwa Tsh 25,000

Jeshi la Polisi mkoani Mbeya, linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kuwatorosha watoto 11 wenye umri wa kati ya miaka...

READ MORE

Watoto Wamuua Baba Yao, Watupa Mwili Wake Kisimani

Katika hali ya kushangaza huko nchini Kenya Watoto wawili wamemuua baba yao huku chanzo cha mgogoro kinatajwa kuwa ni kugombea...

READ MORE

Watoto 136 Watekwa Shuleni

MAOFISA wa Serikali katika Jimbo la Kaskakazini mwa Nigeria, wamethibisha kutekwa nyara kwa watoto 136 na kwamba wameanzisha mawasiliano na...

READ MORE

Mjamzito Ajifungua Watoto Tisa

MAAJABU ya Mungu hayana kipimo, hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya Mwanamke mmoja nchini Mali amejifungua watoto tisa katika hali...

READ MORE

Awachoma Visu Watoto, Kisa Mkewe Kuolewa

JACKSON BAHATI (27), mkazi wa kijiji cha Buhangizi, Kata ya Kagu, mkoani Geita, anadaiwa kuwajeruhi watoto wake wawili kwa kuwachoma...

READ MORE

Jaji Yamkuta, DNA Yabaini Watoto 3 wa Ndoa si Wake

JAJI mmoja kutoka jimbo la Delta, Nigeria, kwa jina Anthony Okorodas, amefichua kuwa si baba halisi wa watoto watatu kutoka...

READ MORE

Watoto 2 Familia Moja Wafariki kwa Moto, Wazazi Watokomea!

WATOTO wawili wa familia moja wamefariki dunia katika kijiji cha Nyarugisu wilayani Kasulu mkoani Kigoma, baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi...

READ MORE

Watoto 11 Watuhumiwa Kuiba Nyumbani kwa Askari

POLISI mkoa wa Tabora inawashikilia watoto 11, ambao ni wanafunzi wa shule za msingi kwa tuhuma mbalimbali za uvunjaji, uporaji...

READ MORE

Amshitaki Mkewe kwa Kumzalia Watoto Wenye Sura Mbaya

GAZETI la mtandaoni la KINEDA limeripoti habari yenye msisimko wa kipekee, ambapo mwanamme mmoja aitwaye Jian Feng, amemshitaki mkewe kwa...

READ MORE

Wamepotea, Wanawatafuta Wazazi Wao

  Usiku wa kuamkia leo Agosti 29, 2020 majira ya saa 08:00, Hospitali ya Taifa Muhimbili (UPANGA) imewapokea binti Aurelia...

READ MORE

Watoto 2 Wanusurika Kufa Shangazi yao Akiwachoma Moto

KATIKA hali ya kusikitisha, watoto wawili wanaosoma darasa la kwanza Shule ya Msingi Mwanzumbi wilayani Igunga mkoani Tabora (majina yao...

READ MORE

Mtuhumiwa Wizi wa Watoto Kupimwa Akili

MBEYA: Mahakama ya Hakimu Mfawidhi Mbeya, imeagiza kwenda kupimwa afya ya akili kwa mkazi wa Tegeta jijini Dar anayetuhumiwa kwa...

READ MORE

Baba Ampa Ujauzito Mke na Mtoto Wake

KATIKA hali isiyo ya kawaida, Deus Richard (40), Mkazi wa Kijiji cha Milala Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi...

READ MORE

Shinyanga: Wasichana Waogeshwa Dawa Kuvutia Wanaume

SERIKALI imeombwa kupiga marufuku vitendo vya baadhi ya wazazi kuwapeleka mabinti wao wenye umri kati ya miaka 10 hadi 15...

READ MORE

Mzee Miaka 102 Mwenye Watoto 60, Wajukuu 70 Afungua Shule

MZEE Meshuku Mapi Mukari almaarufu mzee Laibon, kutoka jamii ya kifugaji, mwenye umri wa miaka 102 na wake wanane, watoto...

READ MORE

Watoto Mapacha Walioungana Watenganishwa, Warejea Nchini – Video

Hakika Mungu ni muweza… hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya watoto mapacha waliozaliwa wakiwa  wameungana na hatimaye kwenda kufanyiwa upasuaji...

READ MORE

MAMA AUA WANAYE 6 KWA MAPANGA, NAYE AUAWA!

WATOTO sita wameuawa na wanne wamejeruhiwa kwa kucharangwa kwa panga na mwanamke aliyejulikana kwa jina la Nana Maganga (35 )...

READ MORE

Wananchi Wapiga Kura Kuwataja Wauaji wa Watoto Simiyu

WANANCHI wa Kata ya Lamadi, Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu, jana wamepiga kura ya siri ya kuwataja watuhumiwa wa mauaji...

READ MORE

Jua Faida Kubwa Ya Kuwapapasa Watoto

  Kumpapasa papasa mtoto au kumkanda taratibu kunapunguza pakubwa shughuli katika ubongo wake hasa zinazohusiana na maumivu, utafiti umebaini hilo....

READ MORE

INASIKITISHA! Maiti za Watoto Watatu Zilivyokutwa Kwenye Gari Bovu Dar

WATOTO watatu wa familia moja walitoweka tangu Oktoba 15, mwaka huu katika Mtaa wa Njaro wilayani Temeke, Dar es Salaam wamekutwa...

READ MORE

WATEKAJI KUNDI LA WEZI WA WATOTO LATAJWA

WIMBI la utekaji watoto linazidi kutikisa ambapo katika siku za hivi karibuni wameshatekwa watoto watatu huku wengi wakihoji ni nani...

READ MORE

NMB YAWATAKA WAZAZI KUWAWEKEA WATOTO WAO AKIBA

    BENKI ya NMB imeamua kuanza kutoa elimu kwa wazazi wenye watoto kuanzia wadogo hadi wenye umri wa miaka...

READ MORE

Sangoma Awafanyia Watoto Tukio Baya

MGANGA wa kienyeji ‘sangoma’ ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja na wateja wake, Peter Msambili na Zawadi Juma wanashikiliwa...

READ MORE

TANZANIA YATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA

Timu ya Wasichana Wanaoishi katika mazingira magumu kutoka Tanzania imetinga fainali za Kombe la Dunia kwa kuifunga England 2-1. Mabao...

READ MORE

MADAI YA KUTELEKEZA WATOTO WAWILI, MUME AMGEUZIA KIBAO MKE

WAKATI kasheshe la wanaume kutelekeza wanawake na watoto waliozaa nao likiendelea kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul...

READ MORE

MAUMIVU WANAYOPATA WATOTO HAWA… NI ZAIDI YA MATESO

WATOTO wawili wanaogua maradhi tofauti wapo katika mateso makubwa na wanahitaji msaada wa wasamaria wema ili waweze kupona. Mtoto Mudasili...

READ MORE

Malezi ya watoto wasiachiwe ‘ma-house girl’ pekee  – Meya Ilala

WAZAZI  na walezi wa watoto ambao huwategemea kuwaacha chini ya uangalizi wadada wasaidizi nyumbani maarufu kwa jina la ‘ma-house girl’ wametakiwa...

READ MORE

Awazika Watoto Wakiwa Hai Kisa Wameiba Mahindi

  MTU mmoja nchini Burundi aliyefahamika kwa jina la Nyandwi Elias wa eneo la Bubanza, anatafutwa na Polisi kwa kosa...

READ MORE

Watoto Walivyosherehekea Krismasi Dar Live

  KATIKA kusherehekea sikukuu ya Krismasi watoto jijini Dar es Salaam na vitongoji vyake leo wamesherehekea kwa furaha kubwa katika...

READ MORE

MOROGORO: Mwanamke Ajifungua Mapacha Wanne

MWANAMKE mmoja mkazi wa Mkoa wa Morogoro, Asha Mashaka amejifungua watoto mapacha wanne katika Wodi ya Wazazi ya Hospitali ya...

READ MORE

Miili ya Watoto 3 Waliolipukiwa na Bomu Yaagwa

MIILI ya watoto watatu waliofariki dunia kwa mlipuko wa bomu kwenye eneo la mazoezi ya kijeshi wilayani Monduli, mkoani Arusha...

READ MORE

Baba Alivyowaona Watekaji wa Watoto, Polisi Wakachelewa

KUFUATIA tukio la utekaji watoto Arusha, imeelezwa kuwa Askari wa Jeshi la Polisi hawakufika eneo ambalo watu wanaodhaniwa kuwa ni...

READ MORE

Arusha: Miili ya Watoto Wawili Yaopolewa Shimoni

SAKATA la kutekwa kwa watoto wawili jijini hapa limechukua sura mpya baada ya jana miili miwili ya watoto kuopolewa shimoni...

READ MORE