Simba SC Yaachana Rasmi na Beki Wake wa Kimataifa Wawa
KLABU ya soka ya Simba imetngaza kuachana na mchezaji wao raia wa Ivory Coast Pascal Wawa ambaye amehudumu ndani ya kikosi hicho kwa muda wa misimu minne akiisaidia Simba SC kushinda makombe ya Ligi Kuu pamoja na makombe ya FA na pia…
