The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Wema Isaac Sepetu

Wema Akwaa Kesi Nzito ya Kudaiwa

STAA mkubwa wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu anadaiwa kukwaa na kesi nzito ya kudaiwa deni kubwa na Wakenya, lakini yeye mwenyewe ameliambia Gazeti la IJUMAA; “Nimechoka kusakamwa!”Kwa mujibu wa walalamikaji ambao ni madakatri…

WEMA AIKIMBIA NYUMBA USIKU

NI majanga juu ya majanga! Wakati akiwa amedakwa kisha kuburuzwa mahakamani kwa msala wa kusambaza picha za faragha mtandaoni, mwigizaji Wema Isaac Sepetu anadaiwa kuikimbia nyumba ya kifahari aliyokuwa akiishi kwa madai ya kushindwa…

WEMA: NINA KITU WENGINE HAWANA!

BAADA ya kusemwa mengi kuhusiana na jina la Tanzania Sweetheart, mkali wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu hayupo tayari kuacha kulitumia kwani ana kitu ambacho wengine hawana na haoni mtu wa kumrithi. Wema ameliambia Risasi…

BIRTHDAY YA WEMA USIPIME

USIKU wa kuamkia leo, Miss Tanzania 2006 na staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu, aliangusha pati ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa sambamba na uzinduzi wa filamu yake aliyocheza na staa wa filamu kutoka nchini Ghana, Van Vicker.…